Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia kwanza mkuu
🤣😁😂No penalty refa aache ujinga
Shukrani mkuu
Kapendelea Nini sasa pale, Jamaa alikua ndio mtu wa Mwisho, Kwaiyo kama asingecheza ile Faulo, pengine jamaa angefunga, kwaiyo amezuia Goli LisifungweDahhhh🥺🥺
Refa kawapendeleaaa bhana
[emoji817][emoji419]Ni red card. Ni professional foul last man. Lakini Kekana ni shujaa maana asinge tackle ilikuwa ni goal.
So kama South watashinda hii game huyo jamaa aliekula red ndio atakuwa shujaa wa mechi.
Soma matumizi ya VAR jombaa
Shujaa hasa hichi kitu alifanya Suarez dhidi ya ghana 2010Ni red card. Ni professional foul last man. Lakini Kekana ni shujaa maana asinge tackle ilikuwa ni goal.
So kama South watashinda hii game huyo jamaa aliekula red ndio atakuwa shujaa wa mechi.
Kumbe ilikuwa faulo aiseeImeambatana na kadi Nyekundu
Sahii kabisa,jamaa kaibeba timu[emoji4]Ni red card. Ni professional foul last man. Lakini Kekana ni shujaa maana asinge tackle ilikuwa ni goal.
So kama South watashinda hii game huyo jamaa aliekula red ndio atakuwa shujaa wa mechi.