Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah!....hata bahati zipo kwenye mpiraPenati hazina mwenyewe
Hakuna kiungo ambaye amefanikwa kumfunika kwa gemu nilizocheki... Maan ya mali tanesco walifanya yaoKuna mwamba anaitwa Teboho Makoena asee anacheza soka la viwango vya juu sana.
Wasijiamin Sana maana wapigaji wao wengi ni ndezi vile vile lbd wabadilike leo.Williams atarudia zile heroics zake dhidi ya Cape Verde?
Inaonekana SA wanajiamini kwenye matuta ndio maana walikuwa wana slow down play kwenye extra time.
Ngoja tuone.
Wale sio wabovu ila wameshuka kwenye ubora wao Bado rekodi zao zinaweba sana usije kujiweka kwenye kiti chao wew jipange tuHata Morocco na Misri ligi zao ni bora kuliko SA lakini walifika wapii?
Kila laheri Ba-mutu ba Congo...BanyamulengeView attachment 2897353
Tungojee nani atapita hapiyo Ndio point kubwa
AFCON ya Mwaka huu ni Superb sana yani ni [emoji91] [emoji91]One of the beautiful game.Kuwahi kutokea katika ulimwengu wa afrika
Akicheza nyingi ni mbili na haziwasaidii wanatoka leo hata huyo Golie wa Chippa united usimchukulie poa kwa wapigaji wazembe wasau anaweza ibuka shujaaKakipa ka South aka nakaogopa juzi kamecheza penati nne sjui leo kataweza uchawi wa ki Nigeria
Kwel kabisa embu tungojeeYeah!....hata bahati zipo kwenye mpira