2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Wachezaji wote hapa wanacheza au wamecheza ulaya

Sasa Tanzania walikuwa wanamalengo ya kufika fainali

Wachezaji wa Tanzania pick yao ni Simba/yanga

Baada ya hapo anajenga nyumba chamazi na ist ya kutamba mjini na wanawake wa bure [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom