2025 CCM haitapoteza jimbo hata moja, CHADEMA tulieni

Kapige mswaki kwanza domo linatoa uvundo mbaya sana
 
Hallucinating...
 
Kweli huko Kakonko inaweza ikawa vigumu washindani wa ccm kushinda jimbo.
 
Katambi na Silinde wamejipanga? Hao watazinguliwa sio kwa sababu hawajatimiza majukumu Bali kwa Sababu wataitwa Wasaliti..

Labda wasipite kula za maoni yaani CCM iweke wagombea wapya.
 

Baadala ya kuwaambia wabunge waisimamie serikali wewe unawaza ccm kuchukua majimbo yote.
 
Baadala ya kuwaambia wabunge waisimamie serikali wewe unawaza ccm kuchukua majimbo yote.
Hata Sasa wanaisimamia ndio maana unaona inatimiza wajibu wake na ilani..

Ili CCM wasipoteze Jimbo hata Moja,Ni vyema kula za maoni wakapita watu ambao wanakubalika na jamii,wakitumia Pesa za kuhonga wajumbe itawakata..
 
Upo uwezekano tukawabalansia hata majimbo 20 watakenua Meno hao, uzuri mama anajua Kula na vipofu.
 
Wewe jamaa, Kichwa chini miguu juu, umewahi waza kampeni ya chama chenu eti kibaki pekee mjengoni? Niambie mlichokifanya sasa miaka 7.sera ya maendeleo hayana chama imefanikiwaje? Kuhubiri eti vyama vingi ni uchuro mjue mnajinyonga wenyewe na vizazi vyenu. Ukweli maendeleo ya kweli yataonekana ikiwa tu Tutakua na vyama wakilishi kutengeneza nchi bungeni na kwenye mabaraza ya madiwani.
 
Umerukwabna akili au umeamua tu kujitoa akili ?
 
"CDM chagueni kazi zingine za kufanya ila mkidhani 2025 mtapata jimbo ni kuota ndoto za mchana. NGUMU KUMEZA"

Only in poor and ignorant countries
 
Confidence za kibwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…