2025 CCM haitapoteza jimbo hata moja, CHADEMA tulieni

Umefunga mjadala kibabe sana [emoji120][emoji120]
 
Kuna haha JF wakaweka na kitufe Cha dislike kwa ajili ya mataputapu kama haya.
 
Kwa nini majijini kuwepo upinzani mkali?
Kwenye majiji Chadema wanakubalika sana kwa sababu watu wana uelewa mpana maana inaeleweka wazi kuwa CCM inachaguliwa na wajinga wajinga tu
 

Attachments

  • FB_IMG_1604027510826.jpg
    34.8 KB · Views: 8
  • IMG-20191109-WA0000.jpg
    35.8 KB · Views: 6
AKILI NDOGO huwaza hivyo kwa kuwa Wewe ndio UTAWAPIGIA KURA WAGOMBEA WOTE upo sahihi
 
AKILI NDOGO huwaza hivyo kwa kuwa Wewe ndio UTAWAPIGIA KURA WAGOMBEA WOTE upo sahihi SIJUI UNATUMIA NINI KUFIKIRI
 
AKILI NDOGO huwaza hivyo kwa kuwa Wewe ndio UTAWAPIGIA KURA WAGOMBEA WOTE upo sahihi SIJUI UNATUMIA NINI KUFIKIRI
 
Mbn unapinga hisia zangu - Mkuu kila mmoja akiteuliwa nchi itakuwa na wateule wangapi - Mungu anatosha
Unadhani bila wabunge wa upinzani patatawalika?

Ilimlazimu jiwe pesa na nguvu kubwa kuwatafuta COVID waapishwe na kuingia mjengoni Ili apate kukubalika kimataifa!!!

Njaa isikufanye ukashindwa kutumia vizuri akili Yako.😠😠😠😠
 
Mleta mada nakuhakikishia;
Kwa uchaguzi wa 2025 bila wizi na uchafuzi wa NEC najua mama SSH anapita tena kwa kura nyingi sana ILA wabunge wengi wa ccm hawarudi mjengoni! take my point
 
Hakuna kucheka na upinzani - CCM lzm ibaki madarakani mpk 2045
 
SAWA SHEIKH YAHAYA MSAKILA kwa utabiri mbona hujaacha namba ya Simu kuna Teuzi za MAWAZIRI
 
In fair election majimbo mengi yatapotea likiwemo jimbo la Shinyanga vijijini kwa Naibu wa Waziri wa TAMISEMI, Arusha Mjini, Karatu, Tunduma kwa Mhe. Silinde, Mlimba kwa kijana wa Magufuli, Ubungo n.k.

Uchaguzi uliopita wabunge wengi ni wa Mhe. Rais. Hawakuwa chaguo la Wananchi. hivyo lazima watoke.
 
Jamani wananchi huku hawataki kabisa opposition - kila mmoja yuko kwa CCM
 
Ipoteze au Isipoteze wewe inakusaidia nini?Bunge lote hili limeisha jana ni CCM,vipi Bei ya Sukari,Mchele na Mahitaji mengine ya kawaida ya kibinadamu imeshuka??tumia hilo bichwa lako kuanzisha nyuzi za maana na si kutumia Makalio yako kuanzisha UHARO JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…