2025 CCM haitapoteza jimbo hata moja, CHADEMA tulieni

Kwa Sera za Kulamba Asali wangesubiri sana ila sababu wanasiasa ni walaghai ikifika 2024 watajifanya kubadilika na kuanza kujishangaa wenyewe na kusingiziana kwamba sio wao bali ni wasiojulikana ndio wanahusika
 
Majimbo yatakayorudishwa chademani ni : ubungo, kawe, Arusha mjini, mbeya mjini, luangwa, mtama, kigoma mjini, buhigwe, kibakwe, tarime mjini na kijinini kwa yule mjinga Kembaki, singida mjini na iramba nk.
 
Umetumia viashiria gani mkuu?
 
We mzee kwahiyo miaka 13 bila nyongeza ya mshahara inatosha au haitoshi
 
Wananchi kususia mikutano yote ya CDM ni ishara tosha juu ya ushindi wa CCM
 
Mawazo mgando
 
Kama ukoo wako pekee ndio utapiga kura nchi nzima ccm itashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…