Who knows, ni weweKipi hichoo
Hapo sasaUkilinda sanduku la kura sawa
Wishful thinking. Hawa hawa viijana machawa wa CCM na ambao hata haki zao hawazijui ndiyo unasema wataitoa CCM? Hawa vijana ambao CCM ikiwaletea zuchu kwenye kampeni watamwaga kura?CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anawezq kiwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Eheheheheh..hayaWho knows, ni wewe
CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anawezq kiwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Umeeandika💤💤💤hata mimi natumia simu mkuu!, umeeandika huku unafoka tatizo..😂
💯💯Wazee na wanawake kama hawajachoka basi ccm bado IPO sanaWazee ndio huamua matokeo ya uchaguzi🐼
Wakajiandikishe sasaCCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anawezq kiwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Ili muendelee na umaskini wenu?Mnajidanganya Sana, tutachagua CCM
Ww unashinda jamii forum Kwanini usiwe masikiniIli muendelee na umaskini wenu?
Typical Hallucinations and delusions of Grandiose proportionsCCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anawezq kiwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
StupidTypical Hallucinations and delusions of Grandiose proportions
being stupid (mjinga) is far healthier than hallucinatingStupid