2025 CHADEMA twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.

SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.

SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.

Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?
 
2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.

SSH anaweza akawa weak candidate lakini CCM bado sio chama dhaifu...

Kwa wapinzani kushinda uchaguzi mkuu inahitaji kukidhoofisha Chama cha Mapinduzi kwa sababu bila hivyo CCM hata wakiweka jiwe wanaweza kushinda...

CCM wana fitna, wana watu, wana mifumo...
 
labda profesa jay wengine wote ni wachumia tumbo tuu, siunaona walivyo kimya, yani polepole ndio atoke mbele akemee ujinga unaofanywa na rais wao wamekaa wanakuna tu kende na kudhiaki wale wote wanaompinga rais, hii ni aibu kwa upinzani wa hii nchi.
 
2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.

SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.

SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.

Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe
Kisiasa mpaka sasa FAM, LISSU wote wapo juu ,ni swala la kukubaliana tunapanda na nani na wao kukubaliana tu

Hata ivyo umesema ukweli, mgombea wa ccm akiwa SSH, ni mgombea weak hata Mie nikisimamishwa na CHAMA saa 7 mchana nimemaliza biashara,

Ikumbukwe uchaguzi 2025 sio uchaguzi na CCm ,bali uchaguzi kati ya dhuluma na ukandamizaji, lazima CCM waondoke ,ZAMBIA NDANI YA TZ inakuja 2025
 
labda profesa jay wengine wote ni wachumia tumbo tuu, siunaona walivyo kimya, yani polepole ndio atoke mbele akemee ujinga unaofanywa na rais wao wamekaa wanakuna tu kende na kudhiaki wale wote wanaompinga rais, hii ni aibu kwa upinzani wa hii nchi.
Ulitaka Mbowe atoke Gerezani akemee, Kuna mtu anakemea Kama Lissu,wakati Magufuli anafanya atakayo hakuna mbuzi ilinyanyua mdomo,,Lissu alipambana nae
 
Kisiasa mpaka sasa FAM, LISSU wote wapo juu ,ni swala la kukubaliana tunapanda na nani na wao kukubaliana tu

Hata ivyo umesema ukweli, mgombea wa ccm akiwa SSH, ni mgombea weak hata Mie nikisimamishwa na CHAMA saa 7 mchana nimemaliza biashara,

Ikumbukwe uchaguzi 2025 sio uchaguzi na CCm ,bali uchaguzi kati ya dhuluma na ukandamizaji, lazima CCM waondoke ,ZAMBIA NDANI YA TZ inakuja 2025
SSH hamna kitu yaani kitaa hakubaliki ataaa
 
SSH anweza akawa weak candidate lakini CCM bado sio chama dhaifu...

Kwa wapinzani kushinda uchaguzi mkuu inahitaji kukidhoofisha Chama cha Mapinduzi kwa sababu bila hivyo CCM hata wakiweka jiwe wanaweza kushinda...

CCM wana fitna, wana watu, wana mifumo...
Ccm kwisha ,ila nakubali kwamba kinabebwa na mfumo ila mbeleko nao una mwisho, Kama CCM sio dhaifu why 2020 walivalisha mpaka watoto wa shule jezi Ili kuongeza vichwa
 
Kisiasa mpaka sasa FAM, LISSU wote wapo juu ,ni swala la kukubaliana tunapanda na nani na wao kukubaliana tu

Hata ivyo umesema ukweli, mgombea wa ccm akiwa SSH, ni mgombea weak hata Mie nikisimamishwa na CHAMA saa 7 mchana nimemaliza biashara,

Ikumbukwe uchaguzi 2025 sio uchaguzi na CCm ,bali uchaguzi kati ya dhuluma na ukandamizaji, lazima CCM waondoke ,ZAMBIA NDANI YA TZ inakuja 2025
Kwa Tume hii ya Samia ?!
 
Mleta uzi uwe unafuatilia habari za Chama👇
 
SSH hamna kitu yaani kitaa hakubaliki ataaa
Sio hivyo tu siasa za kwenye majukwaa pia haziwezi ,Upako wa kisiasa kwake upo chini, sio kwamba Rais lakin tuliomfatilia kampeni za 2020 Kama mgombea mwenza ukubalikaji wake ujengaji wa hoja aliachwa mbali na mgombea mwenza wa CHADEMA,

Sasa nafasi ya urais si ndo itakua balaa, Sana ataeleza ujenzi wa madarasa, nalo jibu litakua MOJA kwamba ni pesa za uviko

Atasema miladi imemalizika,sijui reli, Bwawa,n.k jibu litakua ni MOJA tu TOZO ZETU,
Akija na mpango wa kuboresha maisha ,ataambiwa Tumeisha shutuka hakuna mitano tena

Hoja zinakua zimekwisha
 
Back
Top Bottom