2025 CHADEMA twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?

2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.

SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.

SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.

Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?
Huyo mzee wa sawa sawa inatakiwa awe waziri na siyo kiongozi mkuu wa nchi.
 
Wewe ni mbupu, nadhani genye inakusumbua' Mtu alipata division 0 ndiye awe rais huyo!
Sisi hatuchagui Engineer wa Rocket Science ila tunachagua rais, sikumbuki ni nchi gani ambayo ili uwe kiongozi kama rais lazima uwe na degree na kwa taarifa yako hata Tanzania hilo halipo ila kwa umbumbu wako huwezi kujua.
 
Haina haja ya clarification.The questions are straight and simple.
No, you don't need to resort to terror to alter the prevailing set-up because there are many ways of killing a dog 🐶
 
Who is the dog may I ask?Resorting to name calling will not alter anything.You cannot alter the prevailing set up without good leadership which is what you guys are missing.The bunch you have at your disposal are mere opportunists.
 
Yaani Chadema kama itaendelea kuwaweka wagombea wanaowataka wao na si wanahitajika na jamii wataendelea kupiga maktaimu tu. Lisu, Mbowe ni vipenzi vyenu si vya watanzania fikirieni kuchukuwa nchi si harakati kila siku.
Lisu na mbowe mnawapenda ni kweli ndiyo maana Biblia inasema upendo hauhesabu mabaya. Maana yake hata hao viongozi wenu waharibu vipi mtawaona wazuri tu lakini wananchi watawakataa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.

SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.

SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.

Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?
wote hawafai, Lisu ana hasira sana dhidi ya individuals hawezi kuleta umoja wa kitaifa na hana hoja yeyote kumshinda maza. Mbowe hana uwezo wa kuwa rais. ... ni mtoto wa mjini mno ndio maana alikimbia shule wakati babake alikuw ana pesa za kumsomesha hata havard. cdm sioni mtu labda nyalandu angekuwa bado huko angetia imani kidogo. mnachosubiri 2025 ni kuja kutafuta wabunge tu ili mpate ruzuku, ila urais hamna mtu, na hata mkisema mumuandae sasaivi muda umeshaenda sana. huu ndio ukweli mchungu.
 
Eti ana hasira sana[emoji1787]
Wewe mkuu bwana
 
Lukuvi akihamia chadema akipewa nafasi mtapatakura % 80.

Wakienda na lisu hawatoboi, watu wengi wenye busara hawawezi kumchagua lisu.

Lisu anaweza kuwapata vijana wachache wenye mihemko tu.

Mbowe anaweza kutikisa kidogo.
 
2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.

SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.

SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.

Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?
kama hakutokuwa na mabadiliko haswa katika tume huru na ktiba mpya, CCM ata akisimama nani atashinda kwa sababu ni maamuzi ya watu wachache.
 
Back
Top Bottom