Si ccm, kwani ni ya nani aliyeiteua.“…hii tume yenu…” kina nani?
Si ccm, kwani ni ya nani aliyeiteua.“…hii tume yenu…” kina nani?
2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?
Si ccm, kwani ni ya nani aliyeiteua.
Huo utaratibu mbovu umeletwa na hao hao ccm ili ndio wapate kinga feki ya kung'ang'ania madaraka kupitia mgongo wa hiyo tume yao na ni yao ndio maana wanapigana kufa na kupona kuikingia kifua iendelee kuwepo hapo.That isn’t the correct way of describing it. Ni tume ya taifa; iliwekwa kwa mujibu wa Katiba na sheria. Mapungufu yaliyomo kwenye Katiba na sheria hayabadilishi ukweli kwamba ni tume ya taifa.
Hao CCM unawaonea tu. Hata chama kingine chochote kingekuwa madarakani leo, tume ingeundwa kwa utaratibu uleule unaoonekana mbovu!
2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ila Hangaya anaweza kuwa raisiLissu nani atampa kura? Lissu sio mzima na hawezi kuwa Rais. Mtamtapika.
Huna chama, Ila mama spite,,,taga bana[emoji1]Hiki chama kilishajifia kitambo, japo sina chama na wala sijihusishi na chama chochote kile, but huyu mama acha apite tu.
Mbona Trump anaongea Sana lakini alikuwa presidentLissu naemuelewa ila kiukweli sio presidential material, he talks to much and all that yani nafasi ya uraisi inamvaa Sana... Mbowe Sawa
Lissu naemuelewa ila kiukweli sio presidential material, he talks to much and all that yani nafasi ya uraisi inamvaa Sana... Mbowe Sawa
Kwa hiyo 2025 zitakua zimebadilika?? Chadema kagombeeni urais comoroHizo chaguzi za kihuni ziliandaliwa na kutangazwa matokeo yake na nani.
Yaani Yanga wanacheza na Simba halafu eti refa anatakiwa kuwa Mshindo Msola au Murtaza Mangungu, kuna mechi hapo kweli, wewe hata akili hutumii ili ufahamu kwamba Tanzania hakuna uchaguzi ila ni uhuni tu.
Huna chama, Ila mama spite,,,taga bana[emoji1]
Hamna mtu aliye jamii forums hana mlengo... eidha na chama au mtu wa siasaNarudia tena, sina chama, lakini mama yuko poa.....Hata ikipita ACT sawa tuu muhimu atakaeshinda urais awe poa.
Uchaguzi ni kati ya CCM na Chadema, siyo lissu na Samia. Labda kama wote wanagombea umakamu mwenyekiti wa Chadema ndo uchaguzi unakuwa kati ya wao binafsi.2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?
Huo utaratibu mbovu umeletwa na hao hao ccm ili ndio wapate kinga feki ya kung'ang'ania madaraka kupitia mgongo wa hiyo tume yao na ni yao ndio maana wanapigana kufa na kupona kuikingia kifua iendelee kuwepo hapo.
Sas utaifananisha chadema ya 2005 na 2020....yani wakati ule chadema ilikua bado haina influence kiasi ichoAwamu zote mbowe ameambulia nini?
Hata trump nae hakuwa presidential material...Mbona Trump anaongea Sana lakini alikuwa president
Hivi hicho chama hakina watu wengine wenye sifa za kugombea urais? Maana kila kukicha majina ni Mbowe, Lissu!2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?
Kwani mama chama ganiNarudia tena, sina chama, lakini mama yuko poa.....Hata ikipita ACT sawa tuu muhimu atakaeshinda urais awe poa.
Sas utaifananisha chadema ya 2005 na 2020....yani wakati ule chadema ilikua bado haina influence kiasi icho