Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Thread starter
- #141
Hakuwa presidential material afu akapata nomination ya GOP Mara mbiliHata trump nae hakuwa presidential material...
Hakuwa presidential material afu akapata nomination ya GOP Mara mbiliHata trump nae hakuwa presidential material...
Ata buhari aligombea Mara 4 ya tano akashinda, the same to Raila Odinga, Kama ambavyo kina Lukuvi, Ndugai,Wasira, Zungu toka enzi izo wapo na wanazidi kugombeaHivi hicho chama hakina watu wengine wenye sifa za kugombea urais? Maana kila kukicha majina ni Mbowe, Lissu!
Mbona Trump anaongea Sana lakini alikuwa president
Kwani mama chama gani
Umetaja tayariNingekupa jibu ila nahofia hawa jamaa wakiliona jinsi walivyo waoga unaweza kusikia kesi yake imeahiriishwa mpaka January 2026
Yaani wewe hujui hata unachoongea, unaongea utafikiri unaishi Denmark au Canada na sio Tanzania hii.Shida ni upinzani kukosa mikakati ya kubadilisha rules za mchezo. Chaguzi zote wapinzani wamekuwa na wrong priorities. Wanapoteza resources nyingi kushindania kiti cha Rais hata pale wanapokuwa hawana hata mbunge mmoja. Fikiria watu kama Dr. Rungwe na wengine ambao vyama vyao havijawahi kupata hata kiti kimoja kwenye level yoyote ya uchaguzi. Wanatumia resources zao kugombea kiti cha Rais ili iweje, kwa mfano?
Bunge ndilo lenye uwezo wa kubadilisha rules za mchezo. Kama priority ya upinzani from day one ingekuwa kupambana kupata viti vya ubunge na uwakilishi, sasa hivi, kwa umoja wao, wapinzani wangekuwa na majority ya viti Bungeni au kwenye Baraza la Wawakilishi. Rais anayetokana na chama chenye minority Bungeni au Baraza la Wawakilishi hana nguvu yoyote ya maana. Bunge au Baraza la Wawakilishi linakuwa na nguvu ya kubadilisha rules za mchezo wakati wowote. Pengine kufikia sasa tungekuwa tumeshaona Rais aliyetokana na chama kingine tofauti!
Small mind.Kwa hiyo 2025 zitakua zimebadilika?? Chadema kagombeeni urais comoro
Yaani wewe hujui hata unachoongea, unaongea utafikiri unaishi Denmark au Canada na sio Tanzania hii.
Hivi yaliyofanyika kwenye chaguzi za mwaka 2019 au 2020 unaweza kulaumu upinzani kweli.
Kama mtu anaweza kuwambia wanaosimamia uchaguzi kwamba "Mimi siwezi kukupa gari, nyumba na mshahara mzuri halafu unanitangazia mpinzani kwamba ndio mshindi". Katika mazingira hayo unalaumje wapinzani.
Ukweli ni kwamba bila utaratibu kuwekwa ili nchi hii tupate tume isiyo ya chama chochote cha siasa hata kiletwe chama cha Democratic au Republican itakuwa ni kazi bure kwani hakiwezi kutangazwa mshindi.
Nchi hii uchaguzi umebaki jina tu ndio maana siku hizi hata kwenye hizo chaguzi ndogo hakuna watu wanaojitokeza kwenda kupiga kura kwa sababu wanafahamu ni kupoteza tu muda kwani mgombea wa ccm ndio atatangazwa mshindi wapige kura au wasipige.
Bwana jaribu kuwa muelewa na uelewe kwamba kadri miaka inavyozidi kwenda ndivyo chuki dhidi ya ccm inavyozidi kuongezeka.Chaguzi chini ya mfumo wa vyama vingi hazijaanza 2019 au 2020! Wa kwanza ulifanyika 1995. Miaka yote hii wapinzani, wakiwa na akili timamu, wamekubali kushiriki kwenye sham elections? Upo ushahidi wa kutosha kwamba kwenye maeneo ya uchaguzi ambako wapinzani waliweka mikakati sahihi, walipata ushindi. Wangefanya replication ya hiyo mikakati nchi nzima, obviously, hali ingekuwa tofauti sana!
Mbowe ana degree toka Chuo Kikuu cha wapi? Maana sharti mojawapo la mgombea urais JMT kwa sasa ni lazima awe na shahada angalau ya kwanza!2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?
Bwana jaribu kuwa muelewa na uelewe kwamba kadri miaka inavyozidi kwenda ndivyo chuki dhidi ya ccm inavyozidi kuongezeka.
Hivyo na wenyewe ndivyo wanazidi kutafuta njia za kujihami zaidi, namna Magufuli alivyovuruga uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 na uchunguzi mkuu wa mwaka 2020 ni ushahidi tosha kabisa kukuonyesha jinsi ccm ilivyokata tamaa na walivyo desperate to cling to power, whatever the consequences.
I told you earlier that with the present set-up, no political party that can contest any election in this country with ccm and emerge victorious, it's next to impossible. You can't win a duel with a dog [emoji240] on its backyard.
That is it.Shida ni upinzani kukosa mikakati ya kubadilisha rules za mchezo. Chaguzi zote wapinzani wamekuwa na wrong priorities. Wanapoteza resources nyingi kushindania kiti cha Rais hata pale wanapokuwa hawana hata mbunge mmoja. Fikiria watu kama Dr. Rungwe na wengine ambao vyama vyao havijawahi kupata hata kiti kimoja kwenye level yoyote ya uchaguzi. Wanatumia resources zao kugombea kiti cha Rais ili iweje, kwa mfano?
Bunge ndilo lenye uwezo wa kubadilisha rules za mchezo. Kama priority ya upinzani from day one ingekuwa kupambana kupata viti vya ubunge na uwakilishi, sasa hivi, kwa umoja wao, wapinzani wangekuwa na majority ya viti Bungeni au kwenye Baraza la Wawakilishi. Rais anayetokana na chama chenye minority Bungeni au Baraza la Wawakilishi hana nguvu yoyote ya maana. Bunge au Baraza la Wawakilishi linakuwa na nguvu ya kubadilisha rules za mchezo wakati wowote. Pengine kufikia sasa tungekuwa tumeshaona Rais aliyetokana na chama kingine tofauti!
Mbowe huyu huyu aliyeshindwa kwenye jimbo la Hai au mwingine?2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?
Wachagueni wawe maRais au Mbowe au Tundu Lissu, ila mtakuja REGRET sana baadaye. Hakuna kuongozi yeyote miongoni mwao2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?
Hakuna unachokifahamu wewe, tupe kifungu hicho cha katiba.Mbowe ana degree toka Chuo Kikuu cha wapi? Maana sharti mojawapo la mgombea urais JMT kwa sasa ni lazima awe na shahada angalau ya kwanza!
Tuletee hesabu za kura za Lowassa ili turidhike.Au ni hearsay tu?Ndio maana hatuitaki hiyo tume ya ccm kwa sababu Lowassa ndio alipata kura nyingi lakini wakabadilisha na kumpa dikteta Magufuli. Bure kabisa.
Who has resorted to the acts of terror..!!We’re going in circles for no good reason. How do you change the current setup? By resorting to acts of terror?
Wewe ni mbupu, nadhani genye inakusumbua' Mtu alipata division 0 ndiye awe rais huyo!Hakuna unachokifahamu wewe, tupe kifungu hicho cha katiba.
Lowassa ndio alipata hizo kura milioni 8 na Magufuli milioni 6 lakini kama kawaida tume yenu ikamwokoa na ndio maana hawakutaka hata kuona wapinzani wakijumlisha kura zao na walikamatwa mara moja.Tuletee hesabu za kura za Lowassa ili turidhike.Au ni hearsay tu?
By the way Lowassa mwenyewe yupo wapi sasa?
Who has resorted to the acts of terror..!!