nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
Kwa sasa jamii nyingi za kitanzania hazina huduma ulizotaja,Watanzania hawachagui kwa sera bali huchagua kwa ushabiki, hamasa, ujinga, rushwa, vitisho nk. Hata hao wanaosema wanashinda kwa sera sio kweli, kwani wakishinda husema wanaleta maji, umeme, elimu nk. Huduma hizi ni majukumu ya serikali yoyote iwe na sera au isiwe na sera, ili mradi ndio inayokusanya kodi hata ingekuwa ya kijeshi. Hata upitie ilani za vyama vyote, wote huwa wameweka hizo huduma.
so angalau ukija na sera hizo watakuelewa, sio hii ya kuhurumiwa.