Mniambie ni ibara gani kwenye katiba inayosema mgombea urais lazima awe na degree, tunafahamu hiyo ni sheria ya ccm huko.2005 aligombea wakati huo mabadiliko ya Katiba ya kutaka mgombea urais awe na degree yalikuwa yameshapita.

Wote ni mataputapu.Tafuteni ruzuku kupitia wabunge.Hakuna atakayemshinda Samia.2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe
Toa ujinga wako mkuu,weak kwa nani? Samia atazoa kura kama zote Kwa sababu kafanya vizuri kwenye maendeleo.SSH anweza akawa weak candidate lakini CCM bado sio chama dhaifu...
Kwa wapinzani kushinda uchaguzi mkuu inahitaji kukidhoofisha Chama cha Mapinduzi kwa sababu bila hivyo CCM hata wakiweka jiwe wanaweza kushinda...
CCM wana fitna, wana watu, wana mifumo...
Kwa hiyo bila hizo pesa na tozo hayo ungeyaona? Kwani tunachagua sura za watu ?Sio hivyo tu siasa za kwenye majukwaa pia haziwezi ,Upako wa kisiasa kwake upo chini, sio kwamba Rais lakin tuliomfatilia kampeni za 2020 Kama mgombea mwenza ukubalikaji wake ujengaji wa hoja aliachwa mbali na mgombea mwenza wa CHADEMA,
Sasa nafasi ya urais si ndo itakua balaa, Sana ataeleza ujenzi wa madarasa, nalo jibu litakua MOJA kwamba ni pesa za uviko
Atasema miladi imemalizika,sijui reli, Bwawa,n.k jibu litakua ni MOJA tu TOZO ZETU,
Akija na mpango wa kuboresha maisha ,ataambiwa Tumeisha shutuka hakuna mitano tena
Hoja zinakua zimekwisha
Strong hold ni sehemu yeyote ya Tzn hii lazima apite.Speech zake nyepesi hatari, kuhutubia hamna kitu, Hana Strong hold ATA moja uku bara,,
Usichafue jamii nzima sababu ya utapeli wa mtu mmoja.kinachomwangusha ni trust issues kwenye jamii anayotoka.
kweli madalali na babako ndo mnunuaji kwa lile deni la taifa ambalo limeletwa na chademaKwanini wasiende na wewe, Hao wote ni madalali tu wataipiga bei nchi yetu
Mkuu umemaliza kilaa kituWote ni mataputapu.Tafuteni ruzuku kupitia wabunge.Hakuna atakayemshinda Samia.
Tupo katikati ya VITA; Vita vitakatifu vya kudai katiba mpya..sidhani kuna Mtanzania makini anafikiria mambo ya uchaguzi bila Katiba ambayo itazaa tume huru.2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe
2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe
Umewafunulia junguUnakosea kusema wote wana nafasi sawa ya kumshinda Hangaya kirahisi. Utawasababisha hao wawili waanze kuwindana kuuana bure. Mmoja wao yuko kama Faru John, ambaye alikuwa na tabia ya kuwaua faru wengine wa kiume kwenye himaya yake!
Hakuna wa kwenda nae kati yao2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe
Umesema mifumo ..... Mifumo ambayo haiogopi kumwaga damu in the name of madarakaSSH anweza akawa weak candidate lakini CCM bado sio chama dhaifu...
Kwa wapinzani kushinda uchaguzi mkuu inahitaji kukidhoofisha Chama cha Mapinduzi kwa sababu bila hivyo CCM hata wakiweka jiwe wanaweza kushinda...
CCM wana fitna, wana watu, wana mifumo...
Mbona hata sasa ilishapigwa bei bado kuanza kukamata bond zilizowekwa
UmetishaUchaguzi mwepesi kwa ccm ilikuwa 2000 na 2005 kuanzia hapo ccm haijawahi kuwa na uchaguzi mwepesi.
CCM ilishazidiwa kwa hoja na vyama vya upinzani tangu 2010 mpaka hapo haijawahi kuwa na hoja shawishi kwa wapiga kura.
2015 ccm ilitumia mbinu kushinda uchaguzi na ilifanikiwa probably ilisoma udhaifu wa upinzani walielekeza nguvu kubwa kushinda urais na siyo bunge ccm wakaelekeza nguvu kwenye kuretain majority bungeni na wakatumia mbinu kuretain urais walifanikiwa wakiamini watajipanga upya kihoja lakini walikosa hoja.
2020 CCM haikuwa na mbinu za kushinda uchaguzi ila ilitumia nguvu kushinda uchaguzi ndiyo maana ni uchaguzi pekee ulioacha makovu na michirizi ya damu Tanzania bara na visiwani kwa mara ya kwanza.
Sasa wameshatumia mbinu kushinda uchaguzi 2015, wametumia nguvu kushinda uchaguzi 2020. 2025 watatumia nini ???
Moja ya jambo ambalo ccm wanalifurahia kwa sasa ni CHADEMA kuendelea kususia chaguzi na ACT kuendelea kuanzisha harakati ndogo katikati ya harakati kuu hii inaipa ahueni ccm na kibaya zaidi response ya wananchi nayo ni ya tabia za jongoo kama ilivyo tabia ya jongoo kwa chama kikuu cha upinzani.
Basi tuMbowe has been a quality candidate from day one probably kinachomwangusha ni trust issues kwenye jamii anayotoka.
Eti walivyo waoga😂😂🙌Ningekupa jibu ila nahofia hawa jamaa wakiliona jinsi walivyo waoga unaweza kusikia kesi yake imeahiriishwa mpaka January 2026