Na wewe pewa kesiKinachombeba Mbowe kumlinganisha na mgombea wa ccm ni kesi aliyonayo?
It's true huenda kweli amesingiziwa lakini sababu hiyo pekee haimfanyi awe mgombea bora!
Labda utuambie amekupa sera zipi ili tuzipime!
Upinzani dhaifu Ila unawatoa kamasi watawalaMpaka sasa tuna upinzani dhaifu kuliko wakati wowote katika historia ya upinzani na vyama vya upinzani hapa Tz. Hakuna chama hata kimoja chenye mtu ambaye anakubalika na watanzania wengi kama mgombea wa kiti cha urais kutoka upinzani. Wapinzani wamekuwa so weak kiasi kwamba wamebaki tu kimya hawakemei waziwazi mambo mabovu yanayofnywa na serikali kwa kuogopa kushambuliwa au hata kuuwawa.
Kama wapigania uhuru wa mataifa haya ya kiafrika wangekuwa waoga kama walivyoviongozi wengi wa vyama vya upinzani hapa Tz naamnini mpaka leo nchi nyingi za kiafrika zingekuwa bado zinatawaliwa. HAKUNA TENA UZALENDO BALI NI MASLAHI TU.
Kabisa CCM wanawaogopa wapinzani wao hatari,,,Ila kwenye keyboard wanasema ni dhaifuCcm hawakubali uchaguzi ufanyike ktk nchi hii na wao ndio wa kwanza kusema upinzani ni dhaifu huku wakiwaogopa kwenye sanduku la kura.
Wanalazimisha waendelee kutumia tume yao ya uchaguzi kwa sababu wanafahamu wananchi hawako nao kwani eti wao wako na polisi, Tiss na tume yao ya uchaguzi.
Kama hali itabaki kama ilivyo basi hamna kabisa haja ya kushiriki huo uchaguzi feki wa 2025 kwani itakuwa ni kuhalalisha uhuni wa ccm na vikaragosi vyake.
Mwiba ni wewe StrokeMbowe 2005 alipata kura laki tano.
Lisu 2020 akajizolea kura milioni moja.
Sasa hao ndio unasema ni mwiba kwa CCM??
We mpe ni haki yakoWazee wakupiga kampeni huku ndege inajikoki airport, hata matokeo hayaja tangazwa washatimukia ughaibuni. WAKUMPA KURA NI SSH TU. syo hao madalali.
Hata akigombea na yule anayejiita mdude huko Iringa hawezi kushinda bila kubebwa.SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
KabisaHata akigombea na yule anayejiita mdude huko Iringa hawezi kushinda bila kubebwa.
Uchaguzi mwepesi kwa ccm ilikuwa 2000 na 2005 kuanzia hapo ccm haijawahi kuwa na uchaguzi mwepesi.Mwaka 2020 ulikuwa uchaguzi mwepesi sana kwa CCM...
1995 na 2015 hii ndio miaka ambayo ulimi uliwatoka CCM kwa kupelekeshwa na upinzani...
Mbowe has been a quality candidate from day one probably kinachomwangusha ni trust issues kwenye jamii anayotoka.Kinachombeba Mbowe kumlinganisha na mgombea wa ccm ni kesi aliyonayo?
It's true huenda kweli amesingiziwa lakini sababu hiyo pekee haimfanyi awe mgombea bora!
Labda utuambie amekupa sera zipi ili tuzipime!
Kwanza siyo kweli kwamba wapinzani ni waoga.Mpaka sasa tuna upinzani dhaifu kuliko wakati wowote katika historia ya upinzani na vyama vya upinzani hapa Tz. Hakuna chama hata kimoja chenye mtu ambaye anakubalika na watanzania wengi kama mgombea wa kiti cha urais kutoka upinzani. Wapinzani wamekuwa so weak kiasi kwamba wamebaki tu kimya hawakemei waziwazi mambo mabovu yanayofnywa na serikali kwa kuogopa kushambuliwa au hata kuuwawa.
Kama wapigania uhuru wa mataifa haya ya kiafrika wangekuwa waoga kama walivyoviongozi wengi wa vyama vya upinzani hapa Tz naamnini mpaka leo nchi nyingi za kiafrika zingekuwa bado zinatawaliwa. HAKUNA TENA UZALENDO BALI NI MASLAHI TU.
2005 aligombea wakati huo mabadiliko ya Katiba ya kutaka mgombea urais awe na degree yalikuwa yameshapita.Mbowe hana sifa ya kugombea urais...elimu hana
Kura Million moja kwa kura ambazo hazikuhesabiwa ?Mbowe 2005 alipata kura laki tano.
Lisu 2020 akajizolea kura milioni moja.
Sasa hao ndio unasema ni mwiba kwa CCM??
Sisiemu hata iwe na mgombea dhaifu itashinda tena kihalali sababu upinzani hawana mtu sahihi... ni majizo ma magaidi na watetezi wa mabeberu tu ndio wako huko... huyu mama binafsi simkubali ila atashinda saa tatu asubuhi...2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe
Hizo chaguzi za kihuni ziliandaliwa na kutangazwa matokeo yake na nani.Mbowe 2005 alipata kura laki tano.
Lisu 2020 akajizolea kura milioni moja.
Sasa hao ndio unasema ni mwiba kwa CCM??
2025 Chadema tunaenda na Katiba Mpya2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe
Akili ndogo wewe, kwa nini hao wanaoweza kushinda wanaogopa tume huru ya uchaguzi na badala yake wamekomalia tume yao. Jibu hilo swali kwanza.Sisiemu hata iwe na mgombea dhaifu itashinda tena kihalali sababu upinzani hawana mtu sahihi... ni majizo ma magaidi na watetezi wa mabeberu tu ndio wako huko... huyu mama binafsi simkubali ila atashinda saa tatu asubuhi...
Mbona Lowasa alipata milioni sita 2015 na Magu akapata milioni 8??Hizo chaguzi za kihuni ziliandaliwa na kutangazwa matokeo yake na nani.
Yaani Yanga wanacheza na Simba halafu eti refa anatakiwa kuwa Mshindo Msola au Murtaza Mangungu, kuna mechi hapo kweli, wewe hata akili hutumii ili ufahamu kwamba Tanzania hakuna uchaguzi ila ni uhuni tu.