Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Not easy, hii kesi had ukumu ata mwezi 10, haifiki upande wa utetezi wakianza kuleta mashaidi ni kila siku sio Kama jamuhuriNingekupa jibu ila nahofia hawa jamaa wakiliona jinsi walivyo waoga unaweza kusikia kesi yake imeahiriishwa mpaka January 2026
Mbona hata sasa ilishapigwa bei bado kuanza kukamata bond zilizowekwaKwanini wasiende na wewe, Hao wote ni madalali tu wataipiga bei nchi yetu
Wacha tuoneMbona hata sasa ilishapigwa bei bado kuanza kukamata bond zilizowekwa
2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
Kisiasa mpaka sasa FAM, LISSU wote wapo juu ,ni swala la kukubaliana tunapanda na nani na wao kukubaliana tu2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe
Ulitaka Mbowe atoke Gerezani akemee, Kuna mtu anakemea Kama Lissu,wakati Magufuli anafanya atakayo hakuna mbuzi ilinyanyua mdomo,,Lissu alipambana naelabda profesa jay wengine wote ni wachumia tumbo tuu, siunaona walivyo kimya, yani polepole ndio atoke mbele akemee ujinga unaofanywa na rais wao wamekaa wanakuna tu kende na kudhiaki wale wote wanaompinga rais, hii ni aibu kwa upinzani wa hii nchi.
SSH hamna kitu yaani kitaa hakubaliki ataaaKisiasa mpaka sasa FAM, LISSU wote wapo juu ,ni swala la kukubaliana tunapanda na nani na wao kukubaliana tu
Hata ivyo umesema ukweli, mgombea wa ccm akiwa SSH, ni mgombea weak hata Mie nikisimamishwa na CHAMA saa 7 mchana nimemaliza biashara,
Ikumbukwe uchaguzi 2025 sio uchaguzi na CCm ,bali uchaguzi kati ya dhuluma na ukandamizaji, lazima CCM waondoke ,ZAMBIA NDANI YA TZ inakuja 2025
Umemjibu vizuriMbona hata sasa ilishapigwa bei bado kuanza kukamata bond zilizowekwa
Nchi ishapigwa mnadaKwanini wasiende na wewe, Hao wote ni madalali tu wataipiga bei nchi yetu
Kwamba umetoajibu kwa mlango wa nyuma, sio!!?Ningekupa jibu ila nahofia hawa jamaa wakiliona jinsi walivyo waoga unaweza kusikia kesi yake imeahiriishwa mpaka January 2026
Ccm kwisha ,ila nakubali kwamba kinabebwa na mfumo ila mbeleko nao una mwisho, Kama CCM sio dhaifu why 2020 walivalisha mpaka watoto wa shule jezi Ili kuongeza vichwaSSH anweza akawa weak candidate lakini CCM bado sio chama dhaifu...
Kwa wapinzani kushinda uchaguzi mkuu inahitaji kukidhoofisha Chama cha Mapinduzi kwa sababu bila hivyo CCM hata wakiweka jiwe wanaweza kushinda...
CCM wana fitna, wana watu, wana mifumo...
Kwa Tume hii ya Samia ?!Kisiasa mpaka sasa FAM, LISSU wote wapo juu ,ni swala la kukubaliana tunapanda na nani na wao kukubaliana tu
Hata ivyo umesema ukweli, mgombea wa ccm akiwa SSH, ni mgombea weak hata Mie nikisimamishwa na CHAMA saa 7 mchana nimemaliza biashara,
Ikumbukwe uchaguzi 2025 sio uchaguzi na CCm ,bali uchaguzi kati ya dhuluma na ukandamizaji, lazima CCM waondoke ,ZAMBIA NDANI YA TZ inakuja 2025
Ccm kwisha ,ila nakubali kwamba kinabebwa na mfumo ila mbeleko nao una mwisho, Kama CCM sio dhaifu why 2020 walivalisha mpaka watoto wa shule jezi Ili kuongeza vichwa
Sio hivyo tu siasa za kwenye majukwaa pia haziwezi ,Upako wa kisiasa kwake upo chini, sio kwamba Rais lakin tuliomfatilia kampeni za 2020 Kama mgombea mwenza ukubalikaji wake ujengaji wa hoja aliachwa mbali na mgombea mwenza wa CHADEMA,SSH hamna kitu yaani kitaa hakubaliki ataaa
Muulize polepole, ,Bashiru, kipigo ccm ilipigwa mpaka ikaweka mpira kwapaniMwaka 2020 ulikuwa uchaguzi mwepesi sana kwa CCM...
1995 na 2015 hii ndio miaka ambayo ulimi uliwatoka CCM kwa kupelekeshwa na upinzani...