wababayangu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 813
- 1,107
Huyo mzee wa sawa sawa inatakiwa awe waziri na siyo kiongozi mkuu wa nchi.2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?
Sisi hatuchagui Engineer wa Rocket Science ila tunachagua rais, sikumbuki ni nchi gani ambayo ili uwe kiongozi kama rais lazima uwe na degree na kwa taarifa yako hata Tanzania hilo halipo ila kwa umbumbu wako huwezi kujua.Wewe ni mbupu, nadhani genye inakusumbua' Mtu alipata division 0 ndiye awe rais huyo!
..... Unless you clarify.Did you understand the question(s)?
Haina haja ya clarification.The questions are straight and simple.We’re going in circles for no good reason. How do you change the current setup? By resorting to acts of terror?
No, you don't need to resort to terror to alter the prevailing set-up because there are many ways of killing a dog 🐶Haina haja ya clarification.The questions are straight and simple.
wote hawafai, Lisu ana hasira sana dhidi ya individuals hawezi kuleta umoja wa kitaifa na hana hoja yeyote kumshinda maza. Mbowe hana uwezo wa kuwa rais. ... ni mtoto wa mjini mno ndio maana alikimbia shule wakati babake alikuw ana pesa za kumsomesha hata havard. cdm sioni mtu labda nyalandu angekuwa bado huko angetia imani kidogo. mnachosubiri 2025 ni kuja kutafuta wabunge tu ili mpate ruzuku, ila urais hamna mtu, na hata mkisema mumuandae sasaivi muda umeshaenda sana. huu ndio ukweli mchungu.2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?
Eti ana hasira sana[emoji1787]wote hawafai, Lisu ana hasira sana dhidi ya individuals hawezi kuleta umoja wa kitaifa na hana hoja yeyote kumshinda maza. Mbowe hana uwezo wa kuwa rais. ... ni mtoto wa mjini mno ndio maana alikimbia shule wakati babake alikuw ana pesa za kumsomesha hata havard. cdm sioni mtu labda nyalandu angekuwa bado huko angetia imani kidogo. mnachosubiri 2025 ni kuja kutafuta wabunge tu ili mpate ruzuku, ila urais hamna mtu, na hata mkisema mumuandae sasaivi muda umeshaenda sana. huu ndio ukweli mchungu.
kama hakutokuwa na mabadiliko haswa katika tume huru na ktiba mpya, CCM ata akisimama nani atashinda kwa sababu ni maamuzi ya watu wachache.2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.