Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Na hayo wewe huyapendi?Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii.
Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti kwenda na team Lowasa plus team JPM. Kwa kuzileta hizo team mbili karibu kuna uwezekano wa team Msoga kumalizwa mazima this time.
2025 moto ni mtihani mzito kwa chama kuliko hata 2015.
Mimi mbona namkibali sana mwenyekiti, ni mambo machache tu ninayoyapinga.Na hayo wewe huyapendi?
🤣🤣🤣🤣Ngoja nicomment haraka kabla ya Yule wa “ Ngoja waje wakupe Mwongozo” haja comment
Patamu hapoNgoma inogile
vs Tundu Lisu
Absolutely, JPM aliweza kutengeneza team mpya. Mama anaweza ku take advantage wa wale wasio ndumila kuwili kutoka kwenye makundi hayo, angalau atakiunganisha chama kwa kiasi fulani.Smart move Mama. Changamoto ni je, team Lowassa wangapi hawana mizizi ya team Msoga? Mama weka wasio na team wengi zaidi kuliko wenye team huku chini. Utanishukuru na nitapokea shukrani.
Very well said Mzalendo Halisi. Mtihani ni kuwaunganisha ila kwakuwa njaa na matumaini ya kuendelea na nafasi zao ndio majority wanahitaji,anaweza fanikiwa. Baada yake sasa ndio kutakuwa na kuzikana.Absolutely, JPM aliweza kutengeneza team mpya. Mama anaweza ku take advantage wa wale wasio ndumila kuwili kutoka kwenye makundi hayo, angalau atakiunganisha chama kwa kiasi fulani.
Ndio uzuri wa CCM. Kwenye uchaguzi mkuu kila mtu anaweka maslahi ya chama na nchi mbele.Sisi tuta support yeyote atakaye pitishwa na chama! Hatuna gubu!
Time will tellMijadala ya siku hizi hopeless kabisa.
Mtu akilala kwa shibe ya mihogo na uyoga akaota njozi njaa anakuja hapa na thread ya yaliyomjia ndotoni.
Mapigo yote wanayopigwa hawafikirii pambaf kabisa
Rostam ni middle man mzuri na ana ushawishi kwa viongozi wa juu lakini hana ushawishi wowote kwa wananchi wapiga kura..huyo jamaa mnamu overrate sana, hana power kihivyo kama mnavyodhania labda kama ungesema rostamu hapo sawa lkn hao wengine watumikaji tu, kiungo kati ya wenye power na kwenu, lkn hawana power kihivyo na wala hawaamui chochote kile, wenye power huwezi kuwaona majukwaani wala kuwasikia …
Rostam ni middle man mzuri na ana ushawishi kwa viongozi wa juu lakini hana ushawishi wowote kwa wananchi wapiga kura..