2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

..... ..... .....
FB_IMG_1644236040854.jpg
FB_IMG_1616545580714.jpg
FB_IMG_1626856519720.jpg
 
Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii.

Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti kwenda na team Lowasa plus team JPM. Kwa kuzileta hizo team mbili karibu kuna uwezekano wa team Msoga kumalizwa mazima this time.

2025 ni mtihani mzito kwa chama kuliko hata 2015.
Ni makonda ndie anaeonekana mshawishi mkuu Kwa Kanda ile!!

Anahitajika pole pole,Bashiru waongezeke Ili apenye kirahisi!!

Bashiru awe makam mwenyekiti ccm,pole pole awe katibu mkuu!!

Kwishney ikulu anarudi !!

Tatizo kuu kakiuka maagizo ya wale waliompa Hilo tu!!
 
2025 ccm wanakwenda na maji alisha sema Bwana mbona hamtaki elewa,jitie upofu
 
Umenena. Kwanza team Lowasa na team JK haziivi. Rejea 2015 walipomuimbia Kikwete tuna imani na Lowasa.

JPM alipoingia aliivuta timu Lowasa na akamuweka Rostam Aziz kama mastermind wake. Aliipa kampuni ya Kaspian tender nyingi ikiwemo ya kutengeneza barabara ya mbezi ya njia nane.

Aliwapa shavu kina Nchimbi, kina Bashe ambao wote ni timu Lowasa. Mtoto wa Lowasa akala ubunge ilipofika 2020 huku JPM haishi kuwasiliana na Lowasa mara kwa mara.

Ila JPM hakuupenda mtandao wa JK kutokana na kujaa wapiga dili na wala rushwa. Mafaili mengi machafu aliyokuwa anayapitia ikulu wengi walikuwa watu wa JK.

Alipofariki JK akarudisha watu wake kupitia Samia. Ni wengi mno kuwataja ila wanafahamika. Wamemuangusha sana huyu mama. Kuanzia kupiga dili hadi rushwa na uzembe. Mule mule alimokataa JPM.

Mama hajachelewa sana.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii.

Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti kwenda na team Lowasa plus team JPM. Kwa kuzileta hizo team mbili karibu kuna uwezekano wa team Msoga kumalizwa mazima this time.

2025 ni mtihani mzito kwa chama kuliko hata 2015.
Wote ni maccm Sasa hapo Kuna kipi Cha ajabu?

Binafsi sipendi hao team Mwendazake Kwa sababu ni wajamaa na mbumbumbu wa uchumi na makatili ila Sasa watu wajinga ndio wanawashabikia..

Sasa katika mazingira ambayo eti wanataka wapandishe mabega Kwa Mwenyekiti naunga mkono upande ambao utasima na Mwenyekiti.
 
Ni makonda ndie anaeonekana mshawishi mkuu Kwa Kanda ile!!

Anahitajika pole pole,Bashiru waongezeke Ili apenye kirahisi!!

Bashiru awe makam mwenyekiti ccm,pole pole awe katibu mkuu!!

Kwishney ikulu anarudi !!

Tatizo kuu kakiuka maagizo ya wale waliompa Hilo tu!!

Wote hao walikuwepo wakati wa Magufuli na alilazimika kuuwa watu na kuingiza viroba vya kura feki vituoni
 
Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii.

Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti kwenda na team Lowasa plus team JPM. Kwa kuzileta hizo team mbili karibu kuna uwezekano wa team Msoga kumalizwa mazima this time.

2025 ni mtihani mzito kwa chama kuliko hata 2015.
Tunaomba maadui wa Mama Chamani washindwe na walegee !!
Ulisha tutangazia toka mwanzo kwamba Mzee mmoja mwenye busara alikutahadharisha kwamba ogopa sana wenzio wenye magwanda ya kijani kuliko wale wa nje !!
 
Back
Top Bottom