2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

Wote ni maccm Sasa hapo Kuna kipi Cha ajabu?

Binafsi sipendi hao team Mwendazake Kwa sababu ni wajamaa na mbumbumbu wa uchumi na makatili ila Sasa watu wajinga ndio wanawashabikia..

Sasa katika mazingira ambayo eti wanataka wapandishe mabega Kwa Mwenyekiti naunga mkono upande ambao utasima na Mwenyekiti.
Unamaanisha hao team Mwendazake ndio wanataka kumtoa samia kwenye kiti?
 
Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii.

Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti kwenda na team Lowasa plus team JPM. Kwa kuzileta hizo team mbili karibu kuna uwezekano wa team Msoga kumalizwa mazima this time.

2025 ni mtihani mzito kwa chama kuliko hata 2015.
Mkuu you are missing the point, Lowasa anaumwa, amechoka, na amezeeka.

Hawezi kugombea na hana grip na influence yoyote kwa sasa kwa wafuasi wake.

JPM is no more, gone with his dictatorial influence, therefore there is not even an iota of influence left behind.

Mkuu wafuasi wa JPM ni a group illusioned by their idol's past evil intrigues! Just a headless chicken!

Sad enough, BWM the authoritative figure is no more too! He left no followers at all except a few readers of his autobiographical book.

AHM is too old, out of touch with the current political environment, his influence is no more too, except for his struggling son in Zanzibar.

The only standing force to reckon with ni JK! He is so smart, intelligent and strongly networked! He is the only president who was not handpicked and the only one who fulfilled his dream of being the president and made it! The influence is him.

Mkuu how do do imagine ignoring JK let alone his influence! Go back to the drawing board.

If at all SLH is playing any game as you insinuated above, she should know better, the mirror is well set at both ends of JK's arena! JK is even watching the match from his back.

I rest my case!
 
Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii.

Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti kwenda na team Lowasa plus team JPM. Kwa kuzileta hizo team mbili karibu kuna uwezekano wa team Msoga kumalizwa mazima this time.

2025 ni mtihani mzito kwa chama kuliko hata 2015.
Team Kikwete wana backing ya NWO Cabal,kwa hiyo ni moto wa kuotea mbali.Nikumbushe kwamba mfumo wa utawala wa team Kikwete(Msoga),wenye uovu wa kila aina, ndio mfumo Lucifer anaoutaka kwa Dunia,kwa hiyo most likely ndio utakaofanikiwa.
 
Mkuu you are missing the point, Lowasa anaumwa, amechoka, na amezeeka.

Hawezi kugombea na hana grip na influence yoyote kwa sasa kwa wafuasi wake.

JPM is no more, gone with his dictatorial influence, therefore there is not even an iota of influence left behind, wafuasi wake ni a group of a headless chicken!

Sad enough, BWM the authoritative figure is no more too! He left no followers at all except a few readers of his autobiographical book.

AHM is too old, out of touch with the current political environment, his influence is no more too except for his struggling son in Zanzibar.

The only standing force to reckon with ni JK! He is so smart, intelligent and strong! He is the only president who fulfilled his dream of being the president and made it! The influence is him.

Mkuu how do do imagine ignoring JK let alone his influence!

If at all SLH is playing any game as you insinuated she should know better, the match is well set at both ends of JK's arena! JK is even watching from his back.

I rest my case!
Jk nae ni nothing maana Hana madaraka yoyote
 
Team Msoga, ni kisanga kinginee kilee.
Akat hata huko kwa team zingne, kuna shushushu wa kutoka Msogani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipoo
 
Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii.

Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti kwenda na team Lowasa plus team JPM. Kwa kuzileta hizo team mbili karibu kuna uwezekano wa team Msoga kumalizwa mazima this time.

2025 ni mtihani mzito kwa chama kuliko hata 2015.
Kumbe team bado zipo
 
kweli marehemu anawapa heka heka
 
nani mwenye huo ushawishi sasa kwa wapiga kura? Wapiga kura hawaamui chochote na raisi huwekwa na powers za nje ya nchi au unafikiri kwa nini uhuru kenyata na raila wote wawili waliungana na sio kuungana tu uhuru kenyata alikuwa raisi wa nchi lkn walishindwa na ruto ambaye alikuwa hana power kiivyo? kama
kura wajaluo na wakikuyu mpaka makabila mengine waliungana lkn walishindwa n ruto unafikiri ilitokea tu? sasa ruto anatekeleza matakwa ya wale waliomuweka hapo au unafikiri kwa nini umeme hauwashwi tanzagiza ? kwa nini wanazima umeme kwa manufaa ya nani unafikiri?
It's worth considering that Kenya's elections are often plagued by malpractice at every level, including the judiciary.
 
Mkuu you are missing the point, Lowasa anaumwa, amechoka, na amezeeka.

Hawezi kugombea na hana grip na influence yoyote kwa sasa kwa wafuasi wake.

JPM is no more, gone with his dictatorial influence, therefore there is not even an iota of influence left behind.

Mkuu wafuasi wa JPM ni a group illusioned by their idol's past evil intrigues! Just a headless chicken!

Sad enough, BWM the authoritative figure is no more too! He left no followers at all except a few readers of his autobiographical book.

AHM is too old, out of touch with the current political environment, his influence is no more too, except for his struggling son in Zanzibar.

The only standing force to reckon with ni JK! He is so smart, intelligent and strongly networked! He is the only president who has fulfilled his dream of being the president and made it! The influence is him.

Mkuu how do do imagine ignoring JK let alone his influence! Go back to the drawing board.

If at all SLH is playing any game as you insinuated above, she should know better, the mirror is well set at both ends of JK's arena! JK is even watching the match from his back.

I rest my case!
It seems that you view politics through an emotional lens rather than through a practical one, Mizania.

The legacy of Magufuli stands out as he was the only African president who spoke to his constituents in their language and found practical solutions to their issues, even meeting with them face-to-face.

This is a significant achievement, and he will be remembered by the electorate for a long time to come.
 
Kama jamaa yupo strong kama unavyotaka kuaminisha watu mbona katika kipindi cha Mwamba JPM jamaa alipotezwa kabisa ??!! Au kwa lugha nyingine jamaa Alinywea completely !!

Nguvu ya Mamba kumayi !!
 
It seems that you view politics through an emotional lens rather than through a practical one, Mizania.

The legacy of Magufuli stands out as he was the only African president who spoke to his constituents in their language and found practical solutions to their issues, even meeting with them face-to-face.

This is a significant achievement, and he will be remembered by the electorate for a long time to come.
You nailed it !
Wether they like it or not !
 
Mkuu you are missing the point, Lowasa anaumwa, amechoka, na amezeeka.

Hawezi kugombea na hana grip na influence yoyote kwa sasa kwa wafuasi wake.

JPM is no more, gone with his dictatorial influence, therefore there is not even an iota of influence left behind.

Mkuu wafuasi wa JPM ni a group illusioned by their idol's past evil intrigues! Just a headless chicken!

Sad enough, BWM the authoritative figure is no more too! He left no followers at all except a few readers of his autobiographical book.

AHM is too old, out of touch with the current political environment, his influence is no more too, except for his struggling son in Zanzibar.

The only standing force to reckon with ni JK! He is so smart, intelligent and strongly networked! He is the only president who has fulfilled his dream of being the president and made it! The influence is him.

Mkuu how do do imagine ignoring JK let alone his influence! Go back to the drawing board.

If at all SLH is playing any game as you insinuated above, she should know better, the mirror is well set at both ends of JK's arena! JK is even watching the match from his back.

I rest my case!
Sema huyo Mzee anaroho mbaya sana, watu wote wanaomfagilia huyu Mzee ni wezi na mafisadi tuu na wasiotaka maendeleo ya inchi.
 
Binafsi naona sababu hakukuwa na team Lowasa kabla ya Lowasa kujiuzulu, ile timu ilikuwa ya muda mfupi na wengi wanakubaliana na team Msoga kimaslahi ila team JPM ndo mshindani wa hizo team mbili ambazo kimaslahi zinafahamiana vizuri kwani kabla zilikuwa pamoja.
 
Back
Top Bottom