2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

Umesema kweli Hawa watu wanatoa makafara sana kwa shetani ndio mana inchi haiwezi kwenda mbele hata iweje, kinachonishangaza Mimi nikuona kwamba mtu anaifurahia hii timu uku akijua kwamba ni wezi, mafisadi, wauwaji, fitina kibao, sijui nao wamerogwa?
Uko sahihi mkuu,watu hao ni waovu sana,na ukiona mtu anaunga mkono timu Kikwete,ujue ni muovu kama wao.
 
Uko sahihi mkuu,watu hao ni waovu sana,na ukiona mtu anaunga mkono timu Kikwete,ujue ni muovu kama wao.
Mkuu uovu upi, weka bayana, toa mifano. Usijumlishe bila tangible evidence. Tetea hoja yako kwa facts watu watakuelewa.
 
Jk nae ni nothing maana Hana madaraka yoyote
Kutokuwa na madaraka haina maana kwamba hana influence.Infact nadhani kwa sasa ndiye anaye-iendesha nchi,ndio maana unaona mambo yanaendeshwa ki-luciferian luciferian tu.
 
Kutokuwa na madaraka haina maana kwamba hana influence.Infact nadhani kwa sasa ndiye anaye-iendesha nchi,ndio maana unaona mambo yanaendeshwa ki-luciferian luciferian tu.
Kwaiyo yeye ndo kampendekeza bashite?
 
Simchukii ila hizi propaganda sijui political analysis za ajabu sana. Yaani Samia ni Anti-JPM na Lissu ni Anti-JPM sasa hapo Samia atapoteza nini hata asipotafuta kura za Team JPM? Kwamba team JPM watampigia Lissu? Why wampigie ilihali hapendi siasa za JPM pia?

JPM atakua na madhara pale tu kina Bashiru n.k wangekua na chama chao na wajinasibu kuendeleza siasa za JPM. Ila kama hakuna option ya 3 with or without Team JPM votes Mama Samia hana cha kupoteza maana anajua haziwezi enda kwa Lissu!! unless mgombea wa upinzani awe mtu kama Majaliwa ambaye ni pro-JPM.
Mambo ya Lissu hayamuumizi kichwa mtu ndani ya CCM 🤣.

Upinzani wa kweli upo ndani ya chama.
 
Mkuu you are missing the point, Lowasa anaumwa, amechoka, na amezeeka.

Hawezi kugombea na hana grip na influence yoyote kwa sasa kwa wafuasi wake.

JPM is no more, gone with his dictatorial influence, therefore there is not even an iota of influence left behind.

Mkuu wafuasi wa JPM ni a group illusioned by their idol's past evil intrigues! Just a headless chicken!

Sad enough, BWM the authoritative figure is no more too! He left no followers at all except a few readers of his autobiographical book.

AHM is too old, out of touch with the current political environment, his influence is no more too, except for his struggling son in Zanzibar.

The only standing force to reckon with ni JK! He is so smart, intelligent and strongly networked! He is the only president who was not handpicked and the only one who fulfilled his dream of being the president and made it! The influence is him.

Mkuu how do do imagine ignoring JK let alone his influence! Go back to the drawing board.

If at all SLH is playing any game as you insinuated above, she should know better, the mirror is well set at both ends of JK's arena! JK is even watching the match from his back.

I rest my case!
Mkuu umempaisha sana Kikwete,Kikwete sio intelligent as you have put it,anatumika tu kama karai la zege na NWO kutekeleza malengo yao maovu Tanzania.Infact Kikwete is the worst President we have never had.
 
Kwaiyo yeye ndo kampendekeza bashite?

Mkuu umempaisha sana Kikwete,Kikwete sio sio intelligent as you you have put it,anatumika tu Kama karai la zege na NWO kutekeleza malengo yao maovu Tanzania.He is the worst president we have never heard.
Mkuu kama alionekana anafaa kutumika kati watanzania milioni 62 na hilo lidude kutoka huko majuu.

Don't you think he is somewhat intelligent??? !

Nina amanini hao watu hawawezi kwa akili ya kawaida kutumia mtu boya!
 
Mkuu uovu upi, weka bayana, toa mifano. Usijumlishe bila tangible evidence. Tetea hoja yako kwa facts watu watakuelewa.
Sina haja ya mengi,ufisadi.Hakuna watendaji ambao waliwahi kutuhumiwa kwa kiwango kikubwa cha ufisadi kama wa awamu ya Kikwete,and I believe that is undeniable.Bila kusahau forgery ya vyeti,utendaji wa hovyo serikalini nk.nk.
 
Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii.

Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti kwenda na team Lowasa plus team JPM. Kwa kuzileta hizo team mbili karibu kuna uwezekano wa team Msoga kumalizwa mazima this time.

2025 ni mtihani mzito kwa chama kuliko hata 2015.


"mzalendo uchwara"
 
nani mwenye huo ushawishi sasa kwa wapiga kura? Wapiga kura hawaamui chochote na raisi huwekwa na powers za nje ya nchi au unafikiri kwa nini uhuru kenyata na raila wote wawili waliungana na sio kuungana tu uhuru kenyata alikuwa raisi wa nchi lkn walishindwa na ruto ambaye alikuwa hana power kiivyo? kama
kura wajaluo na wakikuyu mpaka makabila mengine waliungana lkn walishindwa n ruto unafikiri ilitokea tu? sasa ruto anatekeleza matakwa ya wale waliomuweka hapo au unafikiri kwa nini umeme hauwashwi tanzagiza ? kwa nini wanazima umeme kwa manufaa ya nani unafikiri?
Kwamba anayetuzimia umeme yupo hapa ametumwa na power za nje hili jambo halikubaliki ni afadhali MAGU mara mia.
 
Wote ni maccm Sasa hapo Kuna kipi Cha ajabu?

Binafsi sipendi hao team Mwendazake Kwa sababu ni wajamaa na mbumbumbu wa uchumi na makatili ila Sasa watu wajinga ndio wanawashabikia..

Sasa katika mazingira ambayo eti wanataka wapandishe mabega Kwa Mwenyekiti naunga mkono upande ambao utasima na Mwenyekiti.
Mbumbumbu dk Bashiru,Pole pole,Kalemani, ndiyo mbumbumbu unao wajua wewe,kunyimwa cheo serikalini ndiyo MAGU akawa dikteta?
Endeleeni kufanya hiki kinachoendelea ili mwisho uje haraka.
 
He was just a populist who knew how to manipulate the media and poor citizens and for that I'll give credit to him. However in reality he never believed what he stood for, fighting corruption on media whilst protecting the corrupt politburo in his party. Claimed to fund the multi-million dollar projects with internal funds from poor-man's taxes but on the contrary he left us with a burden in a form of humongous interest rates.

Had he been that popular as many claim he wouldn't tamper with the 2020 elections, but the opposition had made significant inroads and showed how he was a crony propagandist. For example Lissu was able to campaign against his "Machinga IDs" manipulations, imagine the president had lied that a mere ID without a picture or name would be used to access finance from formal institutions, can allow access to security funds and so on!! That alone swayed approval ratings from the "machingas/Micro-SMEs" who are majority in this country!!

Let's not give credit to propagandists who used lies and manipulations to consolidate power.
Pamoja na uwongo wake wote alioutumia kuwahadaa watu lakini haya yafuatayo yanatosha kumbeba kila siku :- 1- umeme ulikuwa haukatiki kama sasa 2- ilikuwa nidhamu ipo juu katika kila ofisi ya Umma , 3- vitu havikupanda bei kama ilivyo kwa sasa !
4- karibu kila mkoa na kila wilaya alama zake zimebaki mpaka sasa na ndio maana watu wanaendelea kumkumbuka sana na wataendelea kumkumbuka kwa muda mrefu sana !

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni !!
Ni watu wachache humu kwenye media ndio wanamsema vibaya lakini nenda kwa Ground mitaani mijini na vijijini jaribu kufanya utafiti uone JPM bado ni nani kwa wananchi walio wengi katika Nchi hii !!
JPM alikubalika almost Africa nzima isipokuwa hakupendwa na mafisadi na mabeberu !! Na hiyo inafahamika ni kwanini !!
 
Mambo ya Lissu hayamuumizi kichwa mtu ndani ya CCM 🤣.

Upinzani wa kweli upo ndani ya chama.
Na soon huenda kikaumana !!
Upinzani wa kweli kabisa kabisa utatoka ndani ya Ccm yenyewe na ndipo vyama au Chama kimojawapo kitakaposhikwa mkono na kuinuliwa juu ili utabiri wa Mwalimu utimie !!
2015 ilikuwa ni almanusura utabiri utimie !!
Ngoja tuone !!
 
Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii.

Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti kwenda na team Lowasa plus team JPM. Kwa kuzileta hizo team mbili karibu kuna uwezekano wa team Msoga kumalizwa mazima this time.

2025 ni mtihani mzito kwa chama kuliko hata 2015.
Nchimbi ni Team Lowassa
 
Back
Top Bottom