2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

Haya sasa, taa imewaka. Hayawi

Yes, mama anaunganisha team lowasa na team JPM kuelekea 2025. Hao ndio watakuwa team yake.
Ina maana msoga vs kizimkazi picha haziendi ?!
Ni ngumu kuamini na haitowezekana kutokea hivyo kamwe !!
Labda iwe just for the sake of pretending !!
Nitakuwa mtu wa mwisho on earth kuamini hiyo kitu !!
Ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom