2025 uchaguzi ukiwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushinda uchaguzi

Huu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni.

Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye sanduku la kura, kwenye uchaguzi ulio huru na haki kwa sababu zifatazo.

- Samia hana strongholds hata moja ambayo ina wapiga kura wengi, asikudanganye mtu, hata Marekani Kuna strongholds za Republican na Democrats, mgombea yeyote wa Republican anakuwa ashajihakikishia ushindi wa, Texas, Indiana, South Carolina, na Ohio. na Mgombea yeyote wa Democrats anakuwa ashajihakikishia ushindi kwenye majimbo ya California, Illinois, Deleware, Newyork, DC, n.k

Samia hana strong holds popote hapa Tanzania, Kanda ya ziwa hawezi toboa, Kasikazini hawezi toboa, Dar hatoboi, mikoa ya Iringa na Mbeya hatoboi, mikoa ya kusini haielewekagi.

- Maisha magumu Sana aisee, nipo kwenye ground, maisha magumu hatari,watu ata hawajui kuwa Covid-19 na Vita ya urusi imechangia vitu kupanda Bei, wenyewe wanachojua ni kuwa Samia ndo amepandisha vitu, na Samia ata hakemei, anapiga kimya na mwishowe anakuja sema vitu vitazidi kupanda bei. Mafuta ya kula Lita 7000, sabuni mche ni 3500, ngano Ni 2000,n.k

- Ajira hakuna, mmesikia wenyewe juzi kuhusu magereza, afya anaajiri watu elfu mbili, Elimu ambayo ilikuwa na ajira nyingi anaajiri walimu elfu, ajira hamna kabisa, mbaya zaidi wananchi wamekaririshwa kuwa ufisadi umerudi chini ya Samia,

Ili Samia ashinda uchaguzi 2025 hana budi kuteka, kutesa, nyanganya fomu za wapinzani, wawekee mapingamizi wapinzani, kuingiza kura vituoni n.k hapo atashinda.

Huo ndo ukweli whatever you like or not.
Utashinda wewe Cathelin sawa tumekuelewa
 
Wapiga kura wapi, au sisi,sio wapiga kura
Wengi humu ndani siku ya uchaguzi mara nyingi ni Jumapili, huwa wanaamka saa tano na nusu na cha kwanza kufanya ni kusikilizia idadi ya waliojitokeza katika vituo vya kupiga kura. Wanasumbuka kwa maandishi yao lakini sio kwa matendo yao.
 
Upige usipige kura huyu mama atapita Kama Kawa tu acheni chuki binafsi mbona mwendazake naye ajira hakuajiri na alipigiwa kura za mafuriko matatizo ya watanzania hayataisha kamwe ndani ya mwaka mmoja wa uongozi matatizo ya watanzania ndio mtaji wa kura miaka yote ya uchaguzi
 
Huu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni.

Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye sanduku la kura, kwenye uchaguzi ulio huru na haki kwa sababu zifatazo.

- Samia hana strongholds hata moja ambayo ina wapiga kura wengi, asikudanganye mtu, hata Marekani Kuna strongholds za Republican na Democrats, mgombea yeyote wa Republican anakuwa ashajihakikishia ushindi wa, Texas, Indiana, South Carolina, na Ohio. na Mgombea yeyote wa Democrats anakuwa ashajihakikishia ushindi kwenye majimbo ya California, Illinois, Deleware, Newyork, DC, n.k

Samia hana strong holds popote hapa Tanzania, Kanda ya ziwa hawezi toboa, Kasikazini hawezi toboa, Dar hatoboi, mikoa ya Iringa na Mbeya hatoboi, mikoa ya kusini haielewekagi.

- Maisha magumu Sana aisee, nipo kwenye ground, maisha magumu hatari,watu ata hawajui kuwa Covid-19 na Vita ya urusi imechangia vitu kupanda Bei, wenyewe wanachojua ni kuwa Samia ndo amepandisha vitu, na Samia ata hakemei, anapiga kimya na mwishowe anakuja sema vitu vitazidi kupanda bei. Mafuta ya kula Lita 7000, sabuni mche ni 3500, ngano Ni 2000,n.k

- Ajira hakuna, mmesikia wenyewe juzi kuhusu magereza, afya anaajiri watu elfu mbili, Elimu ambayo ilikuwa na ajira nyingi anaajiri walimu elfu, ajira hamna kabisa, mbaya zaidi wananchi wamekaririshwa kuwa ufisadi umerudi chini ya Samia,

Ili Samia ashinda uchaguzi 2025 hana budi kuteka, kutesa, nyanganya fomu za wapinzani, wawekee mapingamizi wapinzani, kuingiza kura vituoni n.k hapo atashinda.

Huo ndo ukweli whatever you like or not.
Ila wa mwaka 2000 ndiyo ulikua huru na haki?
 
Jameni acheni kumwandama mama mtamtia hofu atageuka ibilisi kama jiwe.
 
Tatizo ni kwamba Tanzania haijawahi kuwa na uchaguzi huru na wa haki
 
Enzi ya Nyerere uchaguzi ulikuwa wa haki. Kila akiona anataka kugombea, alikuwa analazimisha agombee na nguvu za giza. Upande mmoja Nyerere na upande mwingine anapakaza kivuli au giza. Unachagua giza au Nyerere.

Samia tumwombe arudishe haka kautaratobu. Lakini yete agombee na picha ya mbwa.
 
Back
Top Bottom