Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Umeelewa,na utazidi kuelewa.Tikiti maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa,na utazidi kuelewa.Tikiti maji
Wataka apigiwe kura mara ngapi.Na alishapigiwa kura,na amekuwa Rais.Wananchi mamilioni waliopo Tanzania,kura yako moja,haisaidii kitu.Kumpigia kura huyu mama labda kwenye ndoto. Nipo tayari hata kutoa uhai wangu lakini siwezi kumpa kura yangu huyu mama.
Huu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni.
Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye sanduku la kura, kwenye uchaguzi ulio huru na haki kwa sababu zifatazo.
- Samia hana strongholds hata moja ambayo ina wapiga kura wengi, asikudanganye mtu, hata Marekani Kuna strongholds za Republican na Democrats, mgombea yeyote wa Republican anakuwa ashajihakikishia ushindi wa, Texas, Indiana, South Carolina, na Ohio. na Mgombea yeyote wa Democrats anakuwa ashajihakikishia ushindi kwenye majimbo ya California, Illinois, Deleware, Newyork, DC, n.k
Samia hana strong holds popote hapa Tanzania, Kanda ya ziwa hawezi toboa, Kasikazini hawezi toboa, Dar hatoboi, mikoa ya Iringa na Mbeya hatoboi, mikoa ya kusini haielewekagi.
- Maisha magumu Sana aisee, nipo kwenye ground, maisha magumu hatari,watu ata hawajui kuwa Covid-19 na Vita ya urusi imechangia vitu kupanda Bei, wenyewe wanachojua ni kuwa Samia ndo amepandisha vitu, na Samia ata hakemei, anapiga kimya na mwishowe anakuja sema vitu vitazidi kupanda bei. Mafuta ya kula Lita 7000, sabuni mche ni 3500, ngano Ni 2000,n.k
- Ajira hakuna, mmesikia wenyewe juzi kuhusu magereza, afya anaajiri watu elfu mbili, Elimu ambayo ilikuwa na ajira nyingi anaajiri walimu elfu, ajira hamna kabisa, mbaya zaidi wananchi wamekaririshwa kuwa ufisadi umerudi chini ya Samia,
Ili Samia ashinda uchaguzi 2025 hana budi kuteka, kutesa, nyanganya fomu za wapinzani, wawekee mapingamizi wapinzani, kuingiza kura vituoni n.k hapo atashinda.
Huo ndo ukweli whatever you like or not.
Huna ushahidi wowote wa hayo unayosema,zaidi ya kuja na kauli za jumla amabo ni ugonjwa wa watu wengi sanaHuu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni.
Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye sanduku la kura, kwenye uchaguzi ulio huru na haki kwa sababu zifatazo.
- Samia hana strongholds hata moja ambayo ina wapiga kura wengi, asikudanganye mtu, hata Marekani Kuna strongholds za Republican na Democrats, mgombea yeyote wa Republican anakuwa ashajihakikishia ushindi wa, Texas, Indiana, South Carolina, na Ohio. na Mgombea yeyote wa Democrats anakuwa ashajihakikishia ushindi kwenye majimbo ya California, Illinois, Deleware, Newyork, DC, n.k
Samia hana strong holds popote hapa Tanzania, Kanda ya ziwa hawezi toboa, Kasikazini hawezi toboa, Dar hatoboi, mikoa ya Iringa na Mbeya hatoboi, mikoa ya kusini haielewekagi.
- Maisha magumu Sana aisee, nipo kwenye ground, maisha magumu hatari,watu ata hawajui kuwa Covid-19 na Vita ya urusi imechangia vitu kupanda Bei, wenyewe wanachojua ni kuwa Samia ndo amepandisha vitu, na Samia ata hakemei, anapiga kimya na mwishowe anakuja sema vitu vitazidi kupanda bei. Mafuta ya kula Lita 7000, sabuni mche ni 3500, ngano Ni 2000,n.k
- Ajira hakuna, mmesikia wenyewe juzi kuhusu magereza, afya anaajiri watu elfu mbili, Elimu ambayo ilikuwa na ajira nyingi anaajiri walimu elfu, ajira hamna kabisa, mbaya zaidi wananchi wamekaririshwa kuwa ufisadi umerudi chini ya Samia,
Ili Samia ashinda uchaguzi 2025 hana budi kuteka, kutesa, nyanganya fomu za wapinzani, wawekee mapingamizi wapinzani, kuingiza kura vituoni n.k hapo atashinda.
Huo ndo ukweli whatever you like or not.
Wapiga kura wapi, au sisi,sio wapiga kuraSamia akiendelea kutafuta pesa na kuzitumia kwa wananchi kama anavyofanya sasa hiyo 2025 atapeta kama anamsukuma mlevi.
Kuna siasa halisi za huko kwa wapiga kura na zile za humu jukwaani. Hizo ni siasa za aina mbilii tofauti.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]eti Samia anashawishiHabari za tume huru ni kuhamisha magoli. Samia ana mdomo mzuri na anajua kushawishi huko nje. Hiyo ni silaha ambayo hata hayati JPM hakuwa nayo. Naongelea convincing power kama silaha ya kuongozea nchi.
CCM hawawezi ruhusu uchaguzi huru na wa haki. Hi hata haitakaa itokee.Huu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni.
Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye sanduku la kura, kwenye uchaguzi ulio huru na haki kwa sababu zifatazo.
- Samia hana strongholds hata moja ambayo ina wapiga kura wengi, asikudanganye mtu, hata Marekani Kuna strongholds za Republican na Democrats, mgombea yeyote wa Republican anakuwa ashajihakikishia ushindi wa, Texas, Indiana, South Carolina, na Ohio. na Mgombea yeyote wa Democrats anakuwa ashajihakikishia ushindi kwenye majimbo ya California, Illinois, Deleware, Newyork, DC, n.k
Samia hana strong holds popote hapa Tanzania, Kanda ya ziwa hawezi toboa, Kasikazini hawezi toboa, Dar hatoboi, mikoa ya Iringa na Mbeya hatoboi, mikoa ya kusini haielewekagi.
- Maisha magumu Sana aisee, nipo kwenye ground, maisha magumu hatari,watu ata hawajui kuwa Covid-19 na Vita ya urusi imechangia vitu kupanda Bei, wenyewe wanachojua ni kuwa Samia ndo amepandisha vitu, na Samia ata hakemei, anapiga kimya na mwishowe anakuja sema vitu vitazidi kupanda bei. Mafuta ya kula Lita 7000, sabuni mche ni 3500, ngano Ni 2000,n.k
- Ajira hakuna, mmesikia wenyewe juzi kuhusu magereza, afya anaajiri watu elfu mbili, Elimu ambayo ilikuwa na ajira nyingi anaajiri walimu elfu, ajira hamna kabisa, mbaya zaidi wananchi wamekaririshwa kuwa ufisadi umerudi chini ya Samia,
Ili Samia ashinda uchaguzi 2025 hana budi kuteka, kutesa, nyanganya fomu za wapinzani, wawekee mapingamizi wapinzani, kuingiza kura vituoni n.k hapo atashinda.
Huo ndo ukweli whatever you like or not.
Not easy hawa watu wanakalika Sana , ndo maana CCM kila siku ni kuwafunga, teka, ua, piga risasi, wape kesi za uongo n.kWell said, Chadema wangetumia akili kidogotu yakuendana na umepo wa mitaani kwa fikra za wananchi wange toboa mapema sana.
Tatizolao mbaka sasaivi wanakazana kupambana na Hayati Magu kwa kumtusi na kejeli za kipumbavu, amini nakuambia wasipo badilika haraka itawakosti sana.
Yule hata wazanzibari hawamtaki.Abadili Nini watu hawataki kuambiwa ukweli,, niambie strongholds ya Samia ambayo anaweza vuna ATA kura 1m
NgombeUna stress zako tu mkuu... Hata anapogombea kikwete 2010 yalisemwa haya.. Magufuli yakasemwa haya kuwa kukiwa na uchaguzi wa haki hashindi, tena mkasema hela mtaani zimepotea life gumu na bado akashinda... CCM ita endelea kubaki madarakani sio kwasabab ya mtu anae ombea kuwa stronghold wala hajawai tokea mgombea wa CCM ambae ni stronghold... CCM yenyewe ndio stronghold kwaio samia akashinda kwa sababu ya ccm
sasa vita ya Ukraine na Urusi sisi inatuzuiaje kutafuta Katiba Mpya.
Huu ndio ukweli wenyewe. Wale wanaosema haileti ugali mezani wanategemea hii mbovu ndio inawapa ugali. Ikiondoka hii mbovu wanajua ile mpya itawatoa nje ya mstari.Inafahamika kwa wengine katiba mpya itawaondolea ugali mezani