2025 uchaguzi ukiwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushinda uchaguzi

Utashinda wewe Cathelin sawa tumekuelewa
 
Wapiga kura wapi, au sisi,sio wapiga kura
Wengi humu ndani siku ya uchaguzi mara nyingi ni Jumapili, huwa wanaamka saa tano na nusu na cha kwanza kufanya ni kusikilizia idadi ya waliojitokeza katika vituo vya kupiga kura. Wanasumbuka kwa maandishi yao lakini sio kwa matendo yao.
 
Upige usipige kura huyu mama atapita Kama Kawa tu acheni chuki binafsi mbona mwendazake naye ajira hakuajiri na alipigiwa kura za mafuriko matatizo ya watanzania hayataisha kamwe ndani ya mwaka mmoja wa uongozi matatizo ya watanzania ndio mtaji wa kura miaka yote ya uchaguzi
 
Ila wa mwaka 2000 ndiyo ulikua huru na haki?
 
Jameni acheni kumwandama mama mtamtia hofu atageuka ibilisi kama jiwe.
 
Tatizo ni kwamba Tanzania haijawahi kuwa na uchaguzi huru na wa haki
 
Tatizo ni kwamba Tanzania haijawahi kuwa na uchaguzi huru na wa haki
Enzi ya Nyerere uchaguzi ulikuwa wa haki. Kila akiona anataka kugombea, alikuwa analazimisha agombee na nguvu za giza. Upande mmoja Nyerere na upande mwingine anapakaza kivuli au giza. Unachagua giza au Nyerere.

Samia tumwombe arudishe haka kautaratobu. Lakini yete agombee na picha ya mbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…