2025 uchaguzi ukiwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushinda uchaguzi

Abadili Nini watu hawataki kuambiwa ukweli,, niambie strongholds ya Samia ambayo anaweza vuna ATA kura 1m
tatizo lake yeye hana kabila la kitanzania...
na watanzania wanachaguana kimaeneo pamoja na kikabila..
yeye mzenji lazima useme hivyo
 
BTW atapita as long as tume ya taifa iko intact na katiba hakuna. Cha muhimu mkae mkijua changes always comes with pains..

,Hakuna mabadiliko bila kumwaga damu endeleeni na itikadi za kuomba huruma ya Mungu tu muone mnavyokufa maskini
Mungu anaipenda kafara ya damu,bila kumwaga damu uhuru tutausikia kwenye bomba
Nalog off Z
 
..watanzania hatuko hivyo! Yaani tuwe hatujui madhara ya covid wala ya vita vya Rusia kwa uchumi wa dunia? Na zaidi tuwe hatuoni juhudi za serekali ktk kupunguza maumivu yake?
Kipimo cha kukubalika ni kura , kwa Tanzania angalia zaidi ngome za CCM . SSH amerejesha AMANI YA KWELI . Ana kura yangu 2025!
 
Mkuu
Watu wamebadili maamuzi mambo hayapo ivo!!

Hebu soma beti hizi hapa;-


"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"

"Samiah jiuzulu Sasa nchi imeshakushinda, ulambaji asali umekuponza"!!
 
Kumbe mag6akishinda???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…