2025 uchaguzi ukiwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushinda uchaguzi

BTW atapita as long as tume ya taifa iko intact na katiba hakuna. Cha muhimu mkae mkijua changes always comes with pains..

,Hakuna mabadiliko bila kumwaga damu endeleeni na itikadi za kuomba huruma ya Mungu tu muone mnavyokufa maskini
We ndo umeelewa kuwa kwa uchaguzi huru na haki hawezi shinda
 
Shauri nini kifanyike kukabiliana na hali ngumu ya kiuchumi, hayo ya uchaguzi bado mbali sana.
 
Nakubaliana na mleta mada kama uchaguzi utakuwa huru na haki.
 
Upinzani utapigwa asubuhi kabisa
 
Vita ya uchumi ya awamu ya 5 imetisha na kukimbiza wawekezaji. Bila ya wawekezaji, uchumi unasimama. Wengi walishangilia mikataba kuvunjwa bila kujua madhara yake huko mbele. Mwekezaji gani atataka kusaini mikataba na serikali akijua serikali inaweza kuivunja hiyo mikataba au kutaka mikataba mipya huko mbele?
 
Kabisa mkuu, Samia amekuta uchumi mbovu hatari, juzi yenyewe alitoa povu kuhusu ajira za magereza, na kusema bill wages ni kubwa mno,,

Hana hela,lakini CCM ndo walishamshangilia Magufuli
 
Nakubaliana na mleta mada kama uchaguzi utakuwa huru na haki.
We ndo umeelewa mie nimesema Kama Kuna uchaguzi huru na haki, Samia hatoboi ndo maana na yeye anakuja na Tume na kamati shikizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…