2025 uchaguzi ukiwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushinda uchaguzi

Don't dream mchana.

CCM bado kuondoka madarakani.

Jina lao ni lazima lipite.

Tena ameshajiongeza kaweka wa goli la mkono,

Wabunge upinzani watakuwa wengi, ila huko juu ni SIRI KUU
Sema hivi Siri ni chafuzi na SII box la ushindani wa haki🤔
 
Huu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni.

Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye sanduku la kura, kwenye uchaguzi ulio huru na haki kwa sababu zifatazo.

- Samia hana strongholds hata moja ambayo ina wapiga kura wengi, asikudanganye mtu,ata marekani Kuna strongholds za Republican na Democrats, mgombea yeyote wa Republican anakuwa ashajihakikishia ushindi wa, Texas, Indiana, South Carolina, na Ohio. na Mgombea yeyote wa Democrats anakuwa ashajihakikishia ushindi kwenye majimbo ya California, Illinois, Deleware, Newyork, DC, n.k

Samia hana strong holds popote hapa Tanzania, Kanda ya ziwa hawezi toboa, Kasikazini hawezi toboa, Dar hatoboi, mikoa ya Iringa na Mbeya hatoboi,mikoa ya kusini haielewekagi.

- Maisha magumu Sana aisee, nipo kwenye ground, maisha magumu hatari,watu ata hawajui kuwa Covid-19 na Vita ya urusi imechangia vitu kupanda Bei, wenyewe wanachojua ni kuwa Samia ndo amepandisha vitu, na Samia ata hakemei, anapiga kimya na mwishowe anakuja sema vitu vitazidi kupanda bei. Mafuta ya kula Lita 7000, sabuni mche ni 3500, ngano Ni 2000,n.k

- Ajira hakuna, mmesikia wenyewe juzi kuhusu magereza,afya anaajiri watu elfu mbili, Elimu ambayo ilikuwa na ajira nyingi anaajiri walimu elfu, ajira hamna kabisa, mbaya zaidi wananchi wamekaririshwa kuwa ufisadi umerudi chini ya Samia,

Ili Samia ashinda uchaguzi 2025 hana budi kuteka, kutesa, nyanganya fomu za wapinzani, wawekee mapingamizi wapinzani, kuingiza kura vituoni n.k hapo atashinda.

Huo ndo ukweli whatever you like or not.
Tayari umeshauondolea uhuru na haki becquse majibu yakija usivyotaka utasema haukua hurup

Tuna shida kubwa sana ya kudhani mawazo yetu ndio mawazo ya wote
 
Upo sahhihi ila point ya strong hold haina mashiko hapa maana hata watangulizi wake hawakuwa na hilo.

Ila point ni kwamba hauziki....inahitajika nguvu ya ziada plus huo wizi.
 
Unaropoka tuu kama unajamba huna hata Takwimu,Samia kaajiri zaidi ya ajira rasmi 12,000 na kapandisha madaraja zaidi ya 190,000.

Ongea kingine wewe kenge mwenye chuki.
Angalia iyo tikiti Sasa ajira12 elfu Ni nusu ya ajira 46elfu,,Samia ashaferi vibaya
 
Upo sahhihi ila point ya strong hold haina mashiko hapa maana hata watangulizi wake hawakuwa na hilo.

Ila point ni kwamba hauziki....inahitajika nguvu ya ziada plus huo wizi.
We vipi mbona Magufuli alikuwa anakubakika Sana Kanda ya ziwa, kuliko Kasikazini,,,hiyo ndo ilikuwa stronghold yake
 
Tayari umeshauondolea uhuru na haki becquse majibu yakija usivyotaka utasema haukua hurup

Tuna shida kubwa sana ya kudhani mawazo yetu ndio mawazo ya wote
Ndo ukweli japo unauma, ndo maana anaunda kamati na tume shikizi
 
2025 kwenye siasa ni mbali sana ku project jambo kama hilo. Kuna kufariki, kubadilika sheria na sera, hamahama ya wanasiasa, vyama vya upinzani vutakavyo behave, hali ya uchumi itakavyokuwa, matokeo ya uchaguzi ndani ya CCM 2022/3 na consequence zake _ Kumbuka ya Lowassa 2015, hali ya uchumi na siasa za nje huko duniani zitakavyotuathiri nk nk. Siasa ndani ya wiki moja hubadili mustakabali mzima.
Ndo maana US Kuna polls, na sisi tuna predict kuwa 2055,Samia kwa kura halali hatoboi
 
Huu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni.

Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye sanduku la kura, kwenye uchaguzi ulio huru na haki kwa sababu zifatazo.

- Samia hana strongholds hata moja ambayo ina wapiga kura wengi, asikudanganye mtu,ata marekani Kuna strongholds za Republican na Democrats, mgombea yeyote wa Republican anakuwa ashajihakikishia ushindi wa, Texas, Indiana, South Carolina, na Ohio. na Mgombea yeyote wa Democrats anakuwa ashajihakikishia ushindi kwenye majimbo ya California, Illinois, Deleware, Newyork, DC, n.k

Samia hana strong holds popote hapa Tanzania, Kanda ya ziwa hawezi toboa, Kasikazini hawezi toboa, Dar hatoboi, mikoa ya Iringa na Mbeya hatoboi,mikoa ya kusini haielewekagi.

- Maisha magumu Sana aisee, nipo kwenye ground, maisha magumu hatari,watu ata hawajui kuwa Covid-19 na Vita ya urusi imechangia vitu kupanda Bei, wenyewe wanachojua ni kuwa Samia ndo amepandisha vitu, na Samia ata hakemei, anapiga kimya na mwishowe anakuja sema vitu vitazidi kupanda bei. Mafuta ya kula Lita 7000, sabuni mche ni 3500, ngano Ni 2000,n.k

- Ajira hakuna, mmesikia wenyewe juzi kuhusu magereza,afya anaajiri watu elfu mbili, Elimu ambayo ilikuwa na ajira nyingi anaajiri walimu elfu, ajira hamna kabisa, mbaya zaidi wananchi wamekaririshwa kuwa ufisadi umerudi chini ya Samia,

Ili Samia ashinda uchaguzi 2025 hana budi kuteka, kutesa, nyanganya fomu za wapinzani, wawekee mapingamizi wapinzani, kuingiza kura vituoni n.k hapo atashinda.

Huo ndo ukweli whatever you like or not.
Utashinda wewe.
 
We vipi mbona Magufuli alikuwa anakubakika Sana Kanda ya ziwa, kuliko Kasikazini,,,hiyo ndo ilikuwa stronghold yake
Nani ka kwambia kanda ya ziwa alikubalika...au hujui kanda ya ziwa ni wapi.

Mkoa kama mwanza na kagera hawakumkubali hata kidogo..hata chato alikataliwa ww unaonge nn hapa...

wakatumi aumafia wa koforce kukubalika. ungenambia Dodoma ningekuelewa.
 
Upo sahihi sana mkuu. Ila CCM itashinda nakuhakikishia na SSH atarudi tena ikulu. Sababu kuu tatu ni hizi;

1. Watanzania wengi bado wana mwamko mdogo kuhusu uchaguzi. Hawajui thamani ya kura yao. Hivyo wengi wanaotaka mabadiliko ya kweli huwa hawajitokezi kupiga kura. CCM hutumia mwanya huo kuhamasisha wanachama wake hai takribani milioni 8 nchi nzima kujitokeza kumpigia kura mgombea wao hata kama ni bogus.

2. Wakati wa uchaguzi ukifika wapinzani huwaleti mgombea wa maana zaidi ya kuleta watu kama TAL au ZZK ambao hawakubaliki wala hakuna anayewajua huko kijijini ambapo ndio kuna wapiga kura wengi mtaji wa CCM. Hao niliowataja muda mwingi wanatumia kufanya harakati ambazo ni watu wenye elimu na uelewa kama mimi naweza kung'amua propaganda na mambo ya msingi kwa maslahi ya taifa. Kijijini kwetu Butiama hakuna anayewaelewa hata kidogo.

3. CCM wakati wa uchaguzi wanakuwa wamoja, focused, determined na well organized kuliko kipindi chochote hutumia mtaji wa watu, fedha na hata nguvu kuhakikisha wanachukua dola. Watanzania wengi ni waoga husubiria haki iwafuate hawana uwezo wa kupigania haki kwa maandamano wala chochote. Kiufupi watanzania tumeridhika tunajua malalamiko tu na kufuatilia umbea, vibonzo na mpira wa Simba na Yanga nchi imeachiwa CCM tena kundi dogo tu
Eti Nini Hivi Kama sio kuiba uchaguzi, TAL alimshika pabaya mwendazake, ata CCM wanajua Hilo, Samia hamuwezi Lissu, kwenye speech, hoja, ushawishi, kujenga hoja yenye mashiko, Samia mwenyewe ukweli anaujua, ndo maana anaandaa Tume shikizi
 
Back
Top Bottom