Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Umemaliza kuota,au bado unaota.Lissu alimkimbiza sana JPM, Samia kwa Lissu hatoboi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kuota,au bado unaota.Lissu alimkimbiza sana JPM, Samia kwa Lissu hatoboi
Wataka atoboe mara ngapi.Ameshika nafasi mbambali za kiserekali na sasa ni Rais.Hao unaowataja hata kura ya mwenyekiti wa mtaa,hawajapata.Lissu alimkimbiza sana JPM, Samia kwa Lissu hatoboi
Kwa Bara Samia kazi anayo, ATA wamama hawamkubaliUmemdadavua vyema karata yake pekee ni wizi wa uchaguzi.
Ukweli huu kuwekwa wazi ni habari mbaya mno kwa wale vijana wake wa propaganda mitandaoni.
Hao kula yao inategemea kuonyesha mafanikio ya propaganda hizo per day per day.
Umemwambia kweli tupu.We jidanganye kama kula unapiga mwenyewe au unatujua wapiga kura wote kwa jinsi mama anavyoupiga mwingi kwanini tusimpigie kura,kwa kifupi hii ni mpaka 2030.
2025 hata uchaguzi usipokuwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushida uchaguzi na atapoteza 75 % ya majimbo ya Tanzania bara,Huu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni.
Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye sanduku la kura, kwenye uchaguzi ulio huru na haki kwa sababu zifatazo.
- Samia hana strongholds hata moja ambayo ina wapiga kura wengi, asikudanganye mtu,ata marekani Kuna strongholds za Republican na Democrats, mgombea yeyote wa Republican anakuwa ashajihakikishia ushindi wa, Texas, Indiana, South Carolina, na Ohio. na Mgombea yeyote wa Democrats anakuwa ashajihakikishia ushindi kwenye majimbo ya California, Illinois, Deleware, Newyork, DC, n.k
Samia hana strong holds popote hapa Tanzania, Kanda ya ziwa hawezi toboa, Kasikazini hawezi toboa, Dar hatoboi, mikoa ya Iringa na Mbeya hatoboi,mikoa ya kusini haielewekagi.
- Maisha magumu Sana aisee, nipo kwenye ground, maisha magumu hatari,watu ata hawajui kuwa Covid-19 na Vita ya urusi imechangia vitu kupanda Bei, wenyewe wanachojua ni kuwa Samia ndo amepandisha vitu, na Samia ata hakemei, anapiga kimya na mwishowe anakuja sema vitu vitazidi kupanda bei. Mafuta ya kula Lita 7000, sabuni mche ni 3500, ngano Ni 2000,n.k
- Ajira hakuna, mmesikia wenyewe juzi kuhusu magereza,afya anaajiri watu elfu mbili, Elimu ambayo ilikuwa na ajira nyingi anaajiri walimu elfu, ajira hamna kabisa, mbaya zaidi wananchi wamekaririshwa kuwa ufisadi umerudi chini ya Samia,
Ili Samia ashinda uchaguzi 2025 hana budi kuteka, kutesa, nyanganya fomu za wapinzani, wawekee mapingamizi wapinzani, kuingiza kura vituoni n.k hapo atashinda.
Huo ndo ukweli whatever you like or not.
Wataka akubaliwe mara ngapi.Wakati ndio Rais.Kwa Bara Samia kazi anayo, ATA wamama hawamkubali
Kwi kwi, Eti Samia amshinde Lissu, kwenye nini, speech, hoja, uelewa mpana wa Mambo, ushawishi,[emoji1]Wataka atoboe mara ngapi.Ameshika nafasi mbambali za kiserekali na sasa ni Rais.Hao unaowataja hata kura ya mwenyekiti wa mtaa,hawajapata.
Ndoto ya mchana.Unaota huku unapigwa na jua.2025 hata uchaguzi usipokuwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushida uchaguzi na atapoteza 75 % ya majimbo ya Tanzania bara,
Kwa mfano anapataje kura?Ndoto ya mchana.Unaota huku unapigwa na jua.
Nimekuelewa mkuu, Sasa Samia izo mikoa atatoboa,?Nani ka kwambia kanda ya ziwa alikubalika...au hujui kanda ya ziwa ni wapi.
Mkoa kama mwanza na kagera hawakumkubali hata kidogo..hata chato alikataliwa ww unaonge nn hapa...
wakatumi aumafia wa koforce kukubalika. ungenambia Dodoma ningekuelewa.
.Samia ameshika nafasi mbali mbali za kiserekali,mpaka sasa ameshika nafasi ya juu kuliko zote,Amiri Jeshi Mkuu,Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania.Nani wa kumshinda,Samia,hakuna.Kwi kwi, Eti Samia amshinde Lissu, kwenye nini, speech, hoja, uelewa mpana wa Mambo, ushawishi,[emoji1]
Na wewe nyang'anya kama urahisi huko kunyang'anya.Tangu kipindi cha mrema ccm hawapiti kwenye sanduku la kura. Wananyang'anya tu