vadrick
Member
- Aug 3, 2016
- 64
- 41
Uezi kuiekewa kama ww sio mwelewaWatu mna stress,umeelewa mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uezi kuiekewa kama ww sio mwelewaWatu mna stress,umeelewa mada
Kulia lia hakusaidii, fanyakazi kwa juhudi na maarifa,utakuja nishukuru hapa.Kaka kunywa jamkaya ya baridi na kuja kulipa
Hata Hawa wako kaziniKulia lia,hakusaidii.Fanyakazi,kwa juhudi na maarifa,utakuja nishukuru hapa.
Wanajipanga, atashinda kutokana na kujipanga huko.Huu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni.
Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye sanduku la kura, kwenye uchaguzi ulio huru na haki kwa sababu zifatazo...
Kwa Bara Samia kazi anayo, ATA wamama hawamkubali
Uteuz hupat ng'oo.. hahaha.. maana ndo mchongo mpya kwa vijana wa bongo.. sifia kaka.. sifia.. ila kuhusu uteuz.. sahau. HahahaFanyakazi,acha kulia lia.Unasubiri uletewa nyumbani.Wamachinga,wanapewa ofisi,wamachinga Wana ofisi zao.Wewe lia lia tu
Hakuna umeme hapa na kazi yangu ni saluni .Unataka nifanye kazi gani??
Samia hata akishindina na Ndama Mtoto ya ng'ombe hawezi kushindaHuu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni.
Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye sanduku la kura, kwenye uchaguzi ulio huru na haki kwa sababu zifatazo.
- Samia hana strongholds hata moja ambayo ina wapiga kura wengi, asikudanganye mtu,ata marekani Kuna strongholds za Republican na Democrats, mgombea yeyote wa Republican anakuwa ashajihakikishia ushindi wa, Texas, Indiana, South Carolina, na Ohio. na Mgombea yeyote wa Democrats anakuwa ashajihakikishia ushindi kwenye majimbo ya California, Illinois, Deleware, Newyork, DC, n.k
Samia hana strong holds popote hapa Tanzania, Kanda ya ziwa hawezi toboa, Kasikazini hawezi toboa, Dar hatoboi, mikoa ya Iringa na Mbeya hatoboi,mikoa ya kusini haielewekagi.
- Maisha magumu Sana aisee, nipo kwenye ground, maisha magumu hatari,watu ata hawajui kuwa Covid-19 na Vita ya urusi imechangia vitu kupanda Bei, wenyewe wanachojua ni kuwa Samia ndo amepandisha vitu, na Samia ata hakemei, anapiga kimya na mwishowe anakuja sema vitu vitazidi kupanda bei. Mafuta ya kula Lita 7000, sabuni mche ni 3500, ngano Ni 2000,n.k
- Ajira hakuna, mmesikia wenyewe juzi kuhusu magereza,afya anaajiri watu elfu mbili, Elimu ambayo ilikuwa na ajira nyingi anaajiri walimu elfu, ajira hamna kabisa, mbaya zaidi wananchi wamekaririshwa kuwa ufisadi umerudi chini ya Samia,
Ili Samia ashinda uchaguzi 2025 hana budi kuteka, kutesa, nyanganya fomu za wapinzani, wawekee mapingamizi wapinzani, kuingiza kura vituoni n.k hapo atashinda.
Huo ndo ukweli whatever you like or not.
hapo wanajua CCM haiwezi kukaa madarakani hata kwa dak 10Ndiyo maana piga ua hawezi kukubali katiba mpya
Acha ufala wewe uwe unasoma ,sijasema walimu bali kada mbalimbali wakiwemo walimu 7,000Hao walimu
Hao walimu 12000 alioajiri Samia aliajiri lini?Zinazokumbukwa ni 6500 ambazo watu mbalimbali wengi waliweka watu wao.Yaani zinatangazwa,zinakua zishajaa.
na kwa njisia yake...huko ni ngumu mnoNimekuelewa mkuu, Sasa Samia izo mikoa atatoboa,?
Unaona ulivyo tikiti, Basi na Kangi Lugola na Bashite wanamzidi Lissu maana wameshika vyeo na Lissu Hana cheoAmeshamshinda.Samia ameshika nafasi mbali mbali za kiserekali,mpaka sasa ameshika nafasi ya juu kuliko zote,Amiri Jeshi Mkuu,Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania.
Ntampgia kura any opponent wa CCMKwa hiyo wewe ktk hali ya kawaida utaacha kumpigia kura kiongozi Samia halafu umpigie kura mwanaharakati wa SPACE? NO
Mara kumi tumpigie kura Samia nchi itabaki salama kuliko kuwapigia wapinzani wasio na mwelekeo
We ndo umesema ukweli, sema kutokukubalika Samia inamuuma, anatamani watu wangekuwa wanampendaAtatobolea wapi? Tangu apewe urais wa bure, kwanza hapiti kwenye barabara za vumbi au za vijijini.
Mikoa yote ya kusini mwa Tanzania amemwachia Rais wa Msumbiji.
Mkoa wa Tabora, singida, shinyanga, katavi, Simiyu , Tanga,Kagera, amemwachia nani? Hajawahi kufika ni mwaka sasa.
Mkoa wa Mara alifika kwa gari kutokea mwanza siku ya kurudi Ali Rudi kwa helkopita hawezi tena kupanda gari.
Ccm inakubalika ila Mgombe urais Hakubaliki.