2025 uchaguzi ukiwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushinda uchaguzi

2025 uchaguzi ukiwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushinda uchaguzi

Unafahamu bei ya diesel, petrol, mafuta ya kula, bei ya kulipia line ya umeme mjini, kutumia pesa kwa mpesa, mabati, cement, nk?
Dunia hairudi nyuma,wataka bei za zamani,huko zamani miaka ya 80,bei zilikuwa ndogo.Kila miaka inavyokwenda mbele,na vitu vinapanda.
 
BTW atapita as long as tume ya taifa iko intact na katiba hakuna. Cha muhimu mkae mkijua changes always comes with pains..

,Hakuna mabadiliko bila kumwaga damu endeleeni na itikadi za kuomba huruma ya Mungu tu muone mnavyokufa maskini
Sasa mbona huandiki uzi huu kule Facebook ili uhimize watu kumwaga hiyo damu na wewe ukiwa mstari wa mbele kuongoza huo umwagaji damu?

Leo hii wafuasi wangapi wa chadema waliotelekezwa huko Magerezani kwa kukamatwa wakati wa kuunga harakati?

Acheni kuwatumia maskini kwa maslahi yenu.

Ubunge mmekosa nyinyi na sio wananchi.
Jifunzeni kuishi mtaani kama sisi.
 
Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Mkoa wa Dar - Es - Salaam Cde. Eng Ally Ummiy [emoji15]( Mtoto wa Ummy Mwalimu).


Tanzania ccm ni wale wale, wengine wanaambiwa wafanye kazi au watafute ajira.
Kumbe Ni mtoto wa ummy
 
Don't dream mchana.

CCM bado kuondoka madarakani.

Jina lao ni lazima lipite.

Tena ameshajiongeza kaweka wa goli la mkono,

Wabunge upinzani watakuwa wengi, ila huko juu ni SIRI KUU
Ni kama mnaongea lugha moja na mleta UZI kwamba "Uchaguzi ukiwa HURU na HAKI" naona na wewe umesema the same thing
 
Back
Top Bottom