Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwambia kwa Bara Samia kazi anayoLaiti angejua legacy yake ilikuwa kwenye katiba mpya. Ila sasa sikio la kufa:
View attachment 2166768
Ndo ukweli yaani anapewa promo lakini bado raia hawamuelewi[emoji1]Hakuna Rais niliyeshuhudia anapigiwa prom kama huyo najiuliza kazi zake zimeshidwa mnadi kiukwel iko wazi maza atakosa kula za wengi kwa kujihusisha na magenge ya watoto wa mjini kina kikwete na gang yake pamoja na makamba
We ndo mkweli, maza ilo analijua kuwa kwenye sanduku la kura hatoboiAnalijua vizuri hilo. Anajaribu sana kutumia Mkangala, Zitto, Masheikh njaa, Mutungi na Mahera ili atawale kwa miaka 9. Kazi kwetu wapenda hali kubadilisha hii hali.
Wanalipwa 240k per monthHivi The Sunk Cost Fallacy na Jumbe Brown ni mtu yule yule? Yaani chawa kinara wa Mama?
Acha kulia lia.Acha uvivu,fanyakazi.Uteuz hupat ng'oo.. hahaha.. maana ndo mchongo mpya kwa vijana wa bongo.. sifia kaka.. sifia.. ila kuhusu uteuz.. sahau. Hahaha
Una akili timamu kichwani?Viajira shikizi elfu7, ndo unabwabwaja[emoji1][emoji1][emoji1]
Dunia imeendelea wewe,usisubiri umeme wa Tanesco.Kuna Umeme mbadala,kuna ume wa jua.Kuna vifaa kunyoleabvinatumia battery,kuna vifaa vya umeme vya kuchaji.Acha uvivu.Hakuna umeme hapa na kazi yangu ni saluni .Unataka nifanye kazi gani??
Tumia umeme mbadala.Umeme wa JUA.Hakuna umeme hapa na kazi yangu ni saluni .Unataka nifanye kazi gani??
Unayo haki ya kuota ndoto.Mchana au usiku,kwenye mvua au jus kali.Lakini fanyakazi,acha kulia lia.Acha tu hakubaliki ata
Kura 95.9 kwa mama.Abadili Nini watu hawataki kuambiwa ukweli,, niambie strongholds ya Samia ambayo anaweza vuna ATA kura 1m
Ndoto uliyonayo ni ya jua kali.Acha kuota jua likiwa kali.Kura kwa mama 95.9%Huyu mama hukubaliki kabisaaa
95.9 % kutokea kwa nani? Au uko kama mmasai kaka yake akiwa na ngombe 300 anasema ni zake?Ndoto uliyonayo ni ya jua kali.Acha kuota jua likiwa kali.Kura kwa mama 95.9%
Kutoka kwa sisi wananchi.95.9 % kutokea kwa nani? Au uko kama mmasai kaka yake akiwa na ngombe 300 anasema ni zake?
Sema mikopo unaiona. Wananchi wa prmba na unguja sawa.Kutoka kwa sisi wananchi.Maendeleo tunayaona.Ukiwa mvivu wa kazi,ndio utalia lia.
Unafahamu bei ya diesel, petrol, mafuta ya kula, bei ya kulipia line ya umeme mjini, kutumia pesa kwa mpesa, mabati, cement, nk?Kutoka kwa sisi wananchi.Maendeleo tunayaona.Ukiwa mvivu wa kazi,ndio utalia lia.