2025 uchaguzi ukiwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushinda uchaguzi

2025 uchaguzi ukiwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushinda uchaguzi

Ndoto za jua kali.Hukuunapigwa na jua.

Hakuna kama Mama,Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi Yote,Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania.
 
Huu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni.

Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye sanduku la kura, kwenye uchaguzi ulio huru na haki kwa sababu zifatazo.

- Samia hana strongholds hata moja ambayo ina wapiga kura wengi, asikudanganye mtu,ata marekani Kuna strongholds za Republican na Democrats, mgombea yeyote wa Republican anakuwa ashajihakikishia ushindi wa, Texas, Indiana, South Carolina, na Ohio. na Mgombea yeyote wa Democrats anakuwa ashajihakikishia ushindi kwenye majimbo ya California, Illinois, Deleware, Newyork, DC, n.k

Samia hana strong holds popote hapa Tanzania, Kanda ya ziwa hawezi toboa, Kasikazini hawezi toboa, Dar hatoboi, mikoa ya Iringa na Mbeya hatoboi,mikoa ya kusini haielewekagi.

- Maisha magumu Sana aisee, nipo kwenye ground, maisha magumu hatari,watu ata hawajui kuwa Covid-19 na Vita ya urusi imechangia vitu kupanda Bei, wenyewe wanachojua ni kuwa Samia ndo amepandisha vitu, na Samia ata hakemei, anapiga kimya na mwishowe anakuja sema vitu vitazidi kupanda bei. Mafuta ya kula Lita 7000, sabuni mche ni 3500, ngano Ni 2000,n.k

- Ajira hakuna, mmesikia wenyewe juzi kuhusu magereza,afya anaajiri watu elfu mbili, Elimu ambayo ilikuwa na ajira nyingi anaajiri walimu elfu, ajira hamna kabisa, mbaya zaidi wananchi wamekaririshwa kuwa ufisadi umerudi chini ya Samia,

Ili Samia ashinda uchaguzi 2025 hana budi kuteka, kutesa, nyanganya fomu za wapinzani, wawekee mapingamizi wapinzani, kuingiza kura vituoni n.k hapo atashinda.

Huo ndo ukweli whatever you like or not.
Na hiv kafukuza machinga n now anafukuza watu mbugan.. haahhaahs.. .umene hovyo.. jua kal... Petrl 2500.. etc etc etc
 
Na hiv kafukuza machinga n now anafukuza watu mbugan.. haahhaahs.. .umene hovyo.. jua kal... Petrl 2500.. etc etc etc
Fanyakazi,acha kulia lia.

Unasubiri uletewa nyumbani.Wamachinga,wanapewa ofisi,wamachinga Wana ofisi zao.

Wewe lia lia tu
 
Nimekuelewa mkuu, Sasa Samia izo mikoa atatoboa,?
Atatobolea wapi? Tangu apewe urais wa bure, kwanza hapiti kwenye barabara za vumbi au za vijijini.

Mikoa yote ya kusini mwa Tanzania amemwachia Rais wa Msumbiji.

Mkoa wa Tabora, singida, shinyanga, katavi, Simiyu , Tanga,Kagera, amemwachia nani? Hajawahi kufika ni mwaka sasa.

Mkoa wa Mara alifika kwa gari kutokea mwanza siku ya kurudi Ali Rudi kwa helkopita hawezi tena kupanda gari.

Ccm inakubalika ila Mgombe urais Hakubaliki.
 
Hao walimu
Unaropoka tuu kama unajamba huna hata Takwimu,Samia kaajiri zaidi ya ajira rasmi 12,000 na kapandisha madaraja zaidi ya 190,000.

Ongea kingine wewe kenge mwenye chuki.
Hao walimu 12000 alioajiri Samia aliajiri lini?Zinazokumbukwa ni 6500 ambazo watu mbalimbali wengi waliweka watu wao.

Yaani zinatangazwa,zinakua zishajaa.
 
Atatobolea wapi? Tangu apewe urais wa bure, kwanza hapiti kwenye barabara za vumbi au za vijijini.

Mikoa yote ya kusini mwa Tanzania amemwachia Rais wa Msumbiji.

Mkoa wa Tabora, singida, shinyanga, katavi, Simiyu , Tanga,Kagera, amemwachia nani? Hajawahi kufika ni mwaka sasa.

Mkoa wa Mara alifika kwa gari kutokea mwanza siku ya kurudi Ali Rudi kwa helkopita hawezi tena kupanda gari.

Ccm inakubalika ila Mgombe urais Hakubaliki.
Acha kulia lia.Fanyakazi.

Uvivu ndio unakufanya ulie lie.
 
Hao walimu

Hao walimu 12000 alioajiri Samia aliajiri lini?Zinazokumbukwa ni 6500 ambazo watu mbalimbali wengi waliweka watu wao.Yaani zinatangazwa,zinakua zishajaa.
Acha kulia lia.Fanyakazi.Uvivu hautakusaidia.
 
Huu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni.

Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye sanduku la kura, kwenye uchaguzi ulio huru na haki kwa sababu zifatazo...
Acha uvivu, Fanyakazi.

Kulia lia,haikusaidii.
 
Huu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni.

Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye sanduku la kura, kwenye uchaguzi ulio huru na haki kwa sababu zifatazo...
Kaka kunywa jamkaya ya baridi na kuja kulipa
 
Back
Top Bottom