Pre GE2025 2025 watanzania watakuwa na kazi ya kulinda hadhi ya "mama", katika kila hotuba zake, Lissu amekuwa akiongea kwa dhihaka kubwa kuwahusu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mama asiyejali familia anau,a mashamba, anauza bandari, rushwa imetamalaki, hastahili heshima ya umama period.
 
Lissu Ana mdomo mchafu kiasi
 
Jaribu kuficha upumbavu wako sio lazima kila mmoja ajue wewe ni mpumbavu 🚮🚮
Una hakika kichwani una akili/ubongo? Pengine ubongo umekufa, na medically you are dead
 
Makonda amesema Mama karogwa kuliko mtu yoyote hapa Tanzania, sasa huyo atakuwa mzima tena , mwakani lazima form zaidi ya moja mambo yameshaharibika sana, mtu karogwa.
Tehetehe
 
Umelaaniwa wewe, anavyoimbia watanzania, utekaji na mauaji ndiyo tumweshimu?
 
Mimi mwenyewe simkubali mama arudi kwao Z'bar huko nataman hata Mungu afanye chochote kitu inshort mzanzibar kuongoza Tz sikubaliani nalo na ndo maana kawaruhusu waarabu wa DP world
 
Katika historia ya nchi hii, sijawahi kuona mtu anayekebehi, kudharau, na kutoheshimu hadhi ya mama kama Tundu Antipas Mughwai Lissu.
Uchawa umewazidi, Lissu huwa harembi maneno Ngoswe anamuita Ngoswe hata kama Ngoswe huyo kavaa Gauni.
 
Waliomuua mzee Kibao wamekatwa? wizi wa mali za umma na ufisadi imekuwa kama fashioni, matumizi mabaya na makubwa ya mali za umma, hakuna ubunifu wowote zaidi ya wizi
Ya kibao muulize Mnyika, anawajua
 
Mama lake jiko,

Huko kwenye majukwaa ya kisiasa ni wanaume watupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…