UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Tunaongea mambo ya maana wewe unaleta utani 😲😏😏Nchi apewe January hii
Sitaki makasiriko na comment yangu nna presha 😹😹😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaongea mambo ya maana wewe unaleta utani 😲😏😏Nchi apewe January hii
Sitaki makasiriko na comment yangu nna presha 😹😹😹
Tunaenda na January Makamba, hayo makasiriko yako hayawezi kumzuia kutinga white house 😹😹😹Tunaongea mambo ya maana wewe unaleta utani 😲😏😏
Unakumbuka alipokuwa waziriYote heri, kwangu January Makamba ndie mwanadiplomasia anaefaa kuuvaa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taifa linahitaji mabadiliko ya kimkakati, hasa ule wa ushirikiano wenye tija baina ya mataifa sambamba na uwekezaji makini kutoka nje.
Probably Bashungwa japo hana mvuto Kisiasa ila kwenye kazi Yuko vizuriNikikumbuka zama za kina nchimbi walipokuwa na makundi ya uraisi walichofanyiwa na mzee wa msoga sitosahau. na nukuu "Mimi nilikuwa mpole Sana sasa nawaletea mkali".
Mama Samia kwa jinsi navyomuona 2030 huenda akafanya kama ya jk 2015 maana namuona siyo muongeaji anawaangalia vijana wake utendaji wao wanayoyafanya na kujikalia kimya 2030 siyo mbali wale tunaowaona wanapambana kuwa maraisi huenda wakaja kuambulia patupu! Ccm NI dude kubwa na mwenyekiti wa chama ana manguvu sana.
Nawatakia mapumziko mema
TISSNikikumbuka zama za kina nchimbi walipokuwa na makundi ya uraisi walichofanyiwa na mzee wa msoga sitosahau. na nukuu "Mimi nilikuwa mpole Sana sasa nawaletea mkali".
Mama Samia kwa jinsi navyomuona 2030 huenda akafanya kama ya jk 2015 maana namuona siyo muongeaji anawaangalia vijana wake utendaji wao wanayoyafanya na kujikalia kimya 2030 siyo mbali wale tunaowaona wanapambana kuwa maraisi huenda wakaja kuambulia patupu! Ccm NI dude kubwa na mwenyekiti wa chama ana manguvu sana.
Nawatakia mapumziko mema
2030 kwani 2025 Rais ameshapatikana?Nikikumbuka zama za kina nchimbi walipokuwa na makundi ya uraisi walichofanyiwa na mzee wa msoga sitosahau. na nukuu "Mimi nilikuwa mpole Sana sasa nawaletea mkali".
Mama Samia kwa jinsi navyomuona 2030 huenda akafanya kama ya jk 2015 maana namuona siyo muongeaji anawaangalia vijana wake utendaji wao wanayoyafanya na kujikalia kimya 2030 siyo mbali wale tunaowaona wanapambana kuwa maraisi huenda wakaja kuambulia patupu! Ccm NI dude kubwa na mwenyekiti wa chama ana manguvu sana.
Nawatakia mapumziko mema
Yuko vizuri wapi?Probably Bashungwa japo hana mvuto Kisiasa ila kwenye kazi Yuko vizuri
2025 Uchaguzi umeshakwisha2030 kwani 2025 Rais ameshapatikana?
Bashungwa jana hizo Presidential featuresLabda Bashungwa Ila japo ni Mnyarwanda nusu ngoja mengine tumuachie mama Alaska Ila Bashungwa Ana uwezo mkubwa ila hako ka u mama alaska katamponza
Britanicca
bashungwa hicho kichwa cha Harvard University, anastahili, kwanza walau tuwe na Rais toka kanda ya uhayani, itafaa zaidi.Nikikumbuka zama za kina nchimbi walipokuwa na makundi ya uraisi walichofanyiwa na mzee wa msoga sitosahau. na nukuu "Mimi nilikuwa mpole Sana sasa nawaletea mkali".
Mama Samia kwa jinsi navyomuona 2030 huenda akafanya kama ya jk 2015 maana namuona siyo muongeaji anawaangalia vijana wake utendaji wao wanayoyafanya na kujikalia kimya 2030 siyo mbali wale tunaowaona wanapambana kuwa maraisi huenda wakaja kuambulia patupu! Ccm NI dude kubwa na mwenyekiti wa chama ana manguvu sana.
Nawatakia mapumziko mema
Anazo tena sana sema kuna jambo anakosaBashungwa jana hizo Presidential features
KaziniYuko vizuri wapi?
Punguzeni ramliNikikumbuka zama za kina nchimbi walipokuwa na makundi ya uraisi walichofanyiwa na mzee wa msoga sitosahau. na nukuu "Mimi nilikuwa mpole Sana sasa nawaletea mkali".
Mama Samia kwa jinsi navyomuona 2030 huenda akafanya kama ya jk 2015 maana namuona siyo muongeaji anawaangalia vijana wake utendaji wao wanayoyafanya na kujikalia kimya 2030 siyo mbali wale tunaowaona wanapambana kuwa maraisi huenda wakaja kuambulia patupu! Ccm NI dude kubwa na mwenyekiti wa chama ana manguvu sana.
Nawatakia mapumziko mema
Wahaya na Waha mnapenda sana kukuza mambo!Nikikumbuka zama za kina nchimbi walipokuwa na makundi ya uraisi walichofanyiwa na mzee wa msoga sitosahau. na nukuu "Mimi nilikuwa mpole Sana sasa nawaletea mkali".
Mama Samia kwa jinsi navyomuona 2030 huenda akafanya kama ya jk 2015 maana namuona siyo muongeaji anawaangalia vijana wake utendaji wao wanayoyafanya na kujikalia kimya 2030 siyo mbali wale tunaowaona wanapambana kuwa maraisi huenda wakaja kuambulia patupu! Ccm NI dude kubwa na mwenyekiti wa chama ana manguvu sana.
Nawatakia mapumziko mema
Tatizo lako huna msimamoLabda Bashungwa Ila japo ni Mnyarwanda nusu ngoja mengine tumuachie mama Alaska Ila Bashungwa Ana uwezo mkubwa ila hako ka u mama alaska katamponza
Britanicca
Kama unadhani mgombea wa CCM 2025 lazima ni Rais Samia, kwanza soma hii Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! kisha Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje MwanamkeMama Samia kwa jinsi navyomuona 2030 huenda akafanya kama ya jk 2015
Si ajabu hata dunia yenyewe haitajuwepo na hili tishio la vita kuu ya tatu dunia itakuwa majivu matupu.Huo mwaka 20230 si kafulila,BASHUNGWA Wala sisi tunaotype hapa tutakuwepo duniani.
Chapisho hili halikutoka kwa bahati mbaya .Kama unadhani mgombea wa CCM 2025 lazima ni Rais Samia, kwanza soma hii Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! kisha Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Hakuna Rais wa Tanzania alipanga mrithi akafanikiwa!
Nyerere alimpanga Sokoine, akatwaliwa!, akampanga Dr. Salim, akapigwa zengwe, Mwinyi aliingia by defaults only!.
Mwinyi hakupanga mtu, Nyerere akamleta Ben!.
Ben akampanga Dr. Omar Ali Juma, watu wa kazi zao wakaingia kazini, akachomoka, JK akapeta.
JK alimpanga Eddo, system ikamgomea, JPM was just a default!. Mama anaendelea kujipanga huku hajui wataamua nini, ataendelea kuwapangua tuu lakini lililopangwa ndilo liwalo!.
Hao watu wako wawili uliowataja ni hakuna kitu hapo!, CCM wakifanya kosa hilo, litakuwa ni grave mistake, hoja za bandiko hili Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P