20M inatosha kuhamia Dar kuanza Maisha na Biashara?

Akifuatisha ushauri huu kaumia
 
Akina Vunjabei na Sandaland wali hustle kutafuta nauli tu ya kufika Dar.
 
Usije Dar...nenda Rukwa katafute shamba zuri...nunua powertiller yenye tela na majembe yake...Lima Kwa nguvu masika na kiangazi mazao yasiyo oza.
 
Am sure hujawahi ishi Dar 😂😂😂😂 yan mkuu 20M Dar ndogo ? Oky, ya kuishi aweke 5M, kisha awe na mtaji wa 15M, mbna huo mtaji anaweka biashara nyingi tu na anapata zaidi ya 2M kwa mwezi?

Uache uongo
 
Mbondole inatosha siyo Sinza.
 
Njoo na mademu 6 wakali, uanzishe danguro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…