20M inatosha kuhamia Dar kuanza Maisha na Biashara?

We jamaa unaonekana unaskiliza sana stori za vijiweni
Na zimekuharibu
True
tapatalk_1688065676667.jpg
 
Kwa dar sikushaur hiyo hela hapa dar ni ndogo sana kama utategemea kuendesha maisha hapo hapo mana biasgara hadi kuja kukaa sawa si jambo dogo ilaa kama unataka kweli kuishi nayo nenda mkoa jirani nunua bajaji zako mbili used kwa m6 sita moja zungusha mwenyewe moja mpe mtu every day ukilaza kima cha chini elfu30 kwa zote sio, au kama unawazo la kutengeza pesa ndefu kwa m10 tu njoo pm nikupe dili za ndani ndan za hapa dar we ndani ya miez sita una mark m300 kwahy hy m_teni yako ila ni dili zinazoitaji mtu ambae amepania kutafuta pesa za kutosha kama huwez ngoja washaur wengine wanakuja kukufundisha kuuza ndala, soksi vitu vya kike kike, chupichupi hizi mwisho tra wanadai hujakata lesen ya biashara, kinachofuata wanakufilis unarud kijijin kutafuta tena mtaji chezea biashara ila kwa mim hiyo m20 nipesa ya kula bia nimeikawiza sana siku 5 hapo nimekula kwa bajeti coz ninajua kutafuta pesa na kutumia nikiripoti kutoka gheto ni mim mr pipa nasubiri ajira
Akifuatisha ushauri huu kaumia
 
Naomba ushauri ulio serious, hili jambo ni serious, sio Drama.

Ichukulie kama ni wewe.
Unauhakika wa kupata 20M cash,
Kwa ufupi ni kufanya maamuzi tu ila unasubiriwa wewe tuu.

Una vyombo na kitanda tuu,
Kwa ufupi, ni vitu vya kukufanya upike na ulale...

Risk ni kwamba ukichukua umechukua hakuna cha kukubakiza hapo tena maana hio ndio inakuweka hapo.

Kwahio ni either ubaki uendelee kwa kutengemea uwekezaji wa hio 20M Ukupe 600k kwa mwezi au uondoke ukaanze hata chini ya hapo ila unaona mwanga.

Kwa nini unawza kuondoka?
Mambo yamezidi kua magumu,
Hakuna option nyingine ya kujiongezea kipato zaidi ya hio.

Kwa nini Dar, Dar una uzoefu uliishi kwa mda mrefu ukapata fursa ndio ukaondoka, kutafta mtaji, sasa unataka urudi ila katika mfumo mpya.

20M unaazaje maisha na kutoboa kibiashara?
Kuhusu upambanaji ni mzoefu
Mishen town unauzoefu nazo.

Usiseme mbona kuna watu wanaenda Dar hata nauli ni ya kuunga na wanaishi, Huyo hana cha kupoteza last options kwake ni hio, ila huyu anachakupoteza kama atabugi maana tayari ana options, pili haendi kutafuta maisha, anaenda kuboost maisha, baada ya kuona anachelewa.

Nitashukuru sana ukitoa ushauri Wa kujenga.
Akina Vunjabei na Sandaland wali hustle kutafuta nauli tu ya kufika Dar.
 
Usije Dar...nenda Rukwa katafute shamba zuri...nunua powertiller yenye tela na majembe yake...Lima Kwa nguvu masika na kiangazi mazao yasiyo oza.
 
Kwa dar sikushaur hiyo hela hapa dar ni ndogo sana kama utategemea kuendesha maisha hapo hapo mana biasgara hadi kuja kukaa sawa si jambo dogo ilaa kama unataka kweli kuishi nayo nenda mkoa jirani nunua bajaji zako mbili used kwa m6 sita moja zungusha mwenyewe moja mpe mtu every day ukilaza kima cha chini elfu30 kwa zote sio, au kama unawazo la kutengeza pesa ndefu kwa m10 tu njoo pm nikupe dili za ndani ndan za hapa dar we ndani ya miez sita una mark m300 kwahy hy m_teni yako ila ni dili zinazoitaji mtu ambae amepania kutafuta pesa za kutosha kama huwez ngoja washaur wengine wanakuja kukufundisha kuuza ndala, soksi vitu vya kike kike, chupichupi hizi mwisho tra wanadai hujakata lesen ya biashara, kinachofuata wanakufilis unarud kijijin kutafuta tena mtaji chezea biashara ila kwa mim hiyo m20 nipesa ya kula bia nimeikawiza sana siku 5 hapo nimekula kwa bajeti coz ninajua kutafuta pesa na kutumia nikiripoti kutoka gheto ni mim mr pipa nasubiri ajira
Am sure hujawahi ishi Dar 😂😂😂😂 yan mkuu 20M Dar ndogo ? Oky, ya kuishi aweke 5M, kisha awe na mtaji wa 15M, mbna huo mtaji anaweka biashara nyingi tu na anapata zaidi ya 2M kwa mwezi?

Uache uongo
 
Naomba ushauri ulio serious, hili jambo ni serious, sio Drama.

Ichukulie kama ni wewe.
Unauhakika wa kupata 20M cash,
Kwa ufupi ni kufanya maamuzi tu ila unasubiriwa wewe tuu.

Una vyombo na kitanda tuu,
Kwa ufupi, ni vitu vya kukufanya upike na ulale...

Risk ni kwamba ukichukua umechukua hakuna cha kukubakiza hapo tena maana hio ndio inakuweka hapo.

Kwahio ni either ubaki uendelee kwa kutengemea uwekezaji wa hio 20M Ukupe 600k kwa mwezi au uondoke ukaanze hata chini ya hapo ila unaona mwanga.

Kwa nini unawza kuondoka?
Mambo yamezidi kua magumu,
Hakuna option nyingine ya kujiongezea kipato zaidi ya hio.

Kwa nini Dar, Dar una uzoefu uliishi kwa mda mrefu ukapata fursa ndio ukaondoka, kutafta mtaji, sasa unataka urudi ila katika mfumo mpya.

20M unaazaje maisha na kutoboa kibiashara?
Kuhusu upambanaji ni mzoefu
Mishen town unauzoefu nazo.

Usiseme mbona kuna watu wanaenda Dar hata nauli ni ya kuunga na wanaishi, Huyo hana cha kupoteza last options kwake ni hio, ila huyu anachakupoteza kama atabugi maana tayari ana options, pili haendi kutafuta maisha, anaenda kuboost maisha, baada ya kuona anachelewa.

Nitashukuru sana ukitoa ushauri Wa kujenga.
Mbondole inatosha siyo Sinza.
 
Njoo na mademu 6 wakali, uanzishe danguro.
 
Back
Top Bottom