2pac alifanya harakati za kudai haki na kuelimisha jamii, Notorious Big aliedanganya maisha yake na kuimba uhuni pekee, anamsogelea kwa kipi?

Biggie had the flavor
Pac had the message and touched many.
Case laid to rest
you damn right dawg! And lets agree to disagree kila mtu anatest yake. Flow za biggie na ile flavor, good music ndio wengine tumependa, ujumbe ni issue subjective.

So nadhani acha hao jamaa wapewe heshima zao, ni ujuha kuona mtu anamdisrespect mmoja kisa alikuwa anamuelewa mwingine narudia tena kwa mpenzi wa 90s hip hop hawezi kuthubutu kuwadisrespect hao jamaa no matter what.
 
Hoja yako ni nini? Kwa sababu Pac na Biggie huwa wanafananishwa kwa uwezo wao kimuziki. Sio walikulia wapi na kulelewa vipi. Anyway, lets break down your points.

1. Tupac was hood, Biggie was not.
-Huu ni upotoshaji. Biggie aliishi Bedford-Stuyvesant, Brooklyn au kama wenyewe wanavyoita Bed Stuy, huko sio ushuani, ni uswahilini kama Harlem ambako Pac aliishi kabla hajahamia Bartimore. So he was as much hood as Pac. Mama yake kuwa mwalimu hakufanyi awe wa kishua. As a matter of fact Biggie alifanya vitu vingi zaidi vya kihuni kuliko Pac mfano kuuza madawa ya kulevya n.k

2. Aina ya nyimbo walizoimba
-Umetaja nyimbo chache za Pac ambazo zina "ujumbe" na kudai kwamba Biggie nyimbo zake za Sky Is The Limit na Juicy ni stori za uongo. Hoja kwamba nyimbo za Biggie zilikuwa za uongo na za Pac ni za ukweli ni suala la perspective. Rappers wengi huwa ni story tellers, wanasimulia kinachotokea kwenye mazingira yao. Sio lazima iwe personal. Tafuta nyimbo nyingine za Biggie kama Ten Crack Commandments na Missing You usikilize, Biggie alikuwa master story teller. Umesema kwamba Biggie alikuwa anaimba nyimbo nyingi za ku-bragg, which is true lakini hujasema kwamba Pac naye ana nyimbo nyingi tu za kujisifu and other stuff that rappers usually talk about. Mfano ni I Get Around na Toss It Up.

3. Kusoma
-Kuna mahali umesema kwamba Biggie alisoma mpaka high school, which is true, lakini Pac kasoma mpaka college (Bartimore School of Arts).

Narudia tena, wasanii hawa wawili maarufu huwa wanafananishwa kimuziki kwa sababu ndio kitu ambacho ni common kwao. Ukitoka nje ya muziki hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
 
Sijajua kwanini Jay-Z alitaka kununua hati miliki ya ngoma zote za 2PAC! Anyway ni mfanya biashara yule nadhani kuna kitu alikiona kwenye mziki wa PAC.

This is to show that PAC was ahead of BIGGIE!

Nipo hapa nasikiliza "ghetto gospel", namuenzi muhuni kidogo
 
Skia bro.

Kuwafananisha ni MUST kwa kuwa kuna maslahi ya kibiashara kutokana na BIFU lao. Ili kupambiza mauzo na fedha lazima watokee watu wachache wafanye kampeni ya kuwalinganisha.

Ila kiuhalisia Tupac ni mtu mwingine kabisa... GOAT.

Kama unabisha hilo weka bangers za BIG mie najibu kwa BANGER la PAC. Fimbo kwa Fimbo.
 
sijui kwa nn watu wanamlinganishaga pac na vitu vya ajabu aisee, sijui na huwa sielewi kabisa, yaani bigie kuuza drugs ndo kipngele cha harakati zake zilinganishwe na pac? ths is not fair kabisa.
 
I agree to disagree, PERIOD! Ila let's not disrespect these fellas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…