Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Inategemea ni mtoto wa Umri gani.Juicy waweza kumsikilizisha mtoto wako apate la kujifunza ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea ni mtoto wa Umri gani.Juicy waweza kumsikilizisha mtoto wako apate la kujifunza ?
Kumfundjsha apate mafanikio ili aje kuyatumia kufanya umalaya na kununua pamba kali?Inategemea ni mtoto wa Umri gani.
Si kweli mkuu, labda uniambie documentary ya maisha yake ni fake...Biggie hakuwa street boy, alidanganya kaishi maisha ya mtaani, pia alidanganya kwenye sky is the limit aliacha shule akiwa na miaka kumi aende kuuza madawa, big sio wa kumuamini kila kitu.
Big kuwa hustler nayo kadanganganya kwamba alikuwa anakula dagaa (sardines) wakati alikulia maisha poa tu,
Kwani mtu kuwa raised na single parent ndio kuishi kimaskini ?Si kweli mkuu, labda uniambie documentary ya maisha yake ni fake...
Brookline boy raised by single parent.
They grew together with Sean comb.....
Mkuu nakuelewa, ila sio kwamba life was easy hata mpaka leo maisha ya middle class sio maisha ya maana sana....Kwani mtu kuwa raised na single parent ndio kuishi kimaskini ?
Kumbuka alikuwa anasomeshwa shule private huyo.
Vipi wakale kutoka staten Island?? Rza, Method man, Inspector, Power wa Wu-Wear nk .Umemaliza kila kitu mkuu.
Nadhan mkuu sky soldier anatakiwa ajue pac na biggie ni watu wawili tofauti.
Wakati 2pac amelelewa na watu wa revolutions na political movement hata mziki wake ulibase huko unlikely notorious jamaa by nature ni street hustler, ambaye yupo tayari kuhustle kwa namna yoyote ili apate anachotaka hii ndo kitu inatuinspire wengi na hii ni nature ya vijana wengi wa new york, angalia rappers wengi waliokulia mitaa ya brooklyn, bronx, queens wanafanana hizo characters.
Refer kwanini carter na diddy wanaexist mpaka saizi ni watu wa deals nyingi na kuna mambo mengi wanayafanya nyuma ya pazia.
Bigi aliingia mtaani kuuza madawa kwasababu ni yeye mwenyewe alipenda kuwa muhuni na ndio maana hata muziki alipenda kuimba uhuni, hata shuleni alipofika high school ni yeye mwenyewe alimwambia mama yake ahame private kwenda public lengo aende kukutana na wahuni wengi, sio kwamba mama yake alishindwa kumlipia.Mkuu nakuelewa, ila sio kwamba life was easy hata mpaka leo maisha ya middle class sio maisha ya maana sana....
Kumbuka mama yake mjamaica alikuwa nurse tu.. kwahiyo sio kwamba katoka kwenye life poa kiiiiiivooo.
That's why he work his a#$ for it.
Nilisikiliza interview ya the late cow Obama miaka hiyo, aliulizwa PAC na BIGGIE unamkubali nani.... Akasema BIGGIE. Nikaona hebu ngoja niingie chimbo niwajue hawa jamaa!Hakuna rapper wa kumlinganisha n.a. Biggie duniani...
Latter to my unborn child!.Nilisikiliza interview ya the late cow Obama miaka hiyo, aliulizwa PAC na BIGGIE unamkubali nani.... Akasema BIGGIE. Nikaona hebu ngoja niingie chimbo niwajue hawa jamaa!
Katika kuwafatilia nyimbo zao, life styles zao plus ku-hang ki harakati..... Binafsi yangu nikahitimisha kwa kusema PAC alikuwa kifaa sana! Yaani yule muhuni alikuwa habari nyingine kabisa!
Zaidi ya KERO kabisa nachukia hata mimi kukatika kwa umeme.....Achananao hao mkuu walishamaliza ya kwao!
Binafsi kukatika kwa umeme ni kero sana
Wu-tang Clan wameiheshimisha sana mitaa ya park hill hapo staten island, legacy yao itaishi.Vipi wakale kutoka staten Island?? Rza, Method man, Inspector, Power wa Wu-Wear nk .
Nawaheshim sana hawa mabro harakati zao hadi leo wako hapo walipo
hahah, nakubali mwanangu. Notorious alijua kuburudisha mzee.Big yule jamaa alikuwa moto wa kuotea mbali. Hayo mengine kuelimisha sijui kufundisha utajua mwenyewe
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Two families with different tastes!You call ideologies!View attachment 2762707View attachment 2762709
Huyu alikulia hood mitaa iliyojaa msoto, uhalifu na umasikini, vitu livyoimba kuhusu shida ni mambo yaliyokuwa sehem ya maisha yake kwa muda mrefu.
2pac aliweza kufanya kazi kibao kudai haki, kuelimisha jamii, kutoa postive motivation, n.k. pia alipenda sana kusoma vitabu,
Changes ilikuwa kazi ya kiharakati kutetea haki za mtu mweusi, kukemea ubaguzi na kuhamasisha umoja wa watu weusi.
Dear mama ilitoa fundisho kuwa mama ni mama tu hata akiwa na mapungufu yake (mama yake alikuwa teja)
Only God can judge me alitoa ujumbe maridhawa kwamba ni Mungu pekee wa kumhukumu kikamilifu,
Brenda got a baby ilikemea mimba za utotoni.
Keep ya head high ni bonge la postive inspiration kujua thamani yako.
Wonder why they call you bitch ilitoa darasa kwa dada zetu tabia za kujiepusha ili wasijishushe thamani.
hizo ni chache tu.........
View attachment 2762702
View attachment 2762708
Ukija kwa Notorious Big, kwanza kabisa anadanganya kwamba aliishi maisha magumu wakati kiuhalisia hakulelewa maisha ya kitajiri ila sio haba aliishi maisha walau ya kati, mama yake alikuwa na kazi ya ualimu, Big alisomeshwa shule private, aliishi mitaa yenye hadhi ya wastan hakukulia hood, n.k. hali yake ilimpa wepesi hata wa kujuana na watoto wa kishua kina pdiddy, mama yake alikuwa anachukia sana kamlea vizuri ila yeye anadanganya kakulia kwenye shida
Big nyimbo kibao anaimba kubrag (kujisifia), bata, kudanganya aliishi maisha magumu, kusifia kuuza madawa kama njia sahihi ya kuhaso, n.k.
Huwa wanasema kazi zake za juicy na sky is the limit zina ujumbe, huo ujumbe ni upi ?
Juicy kaweka wazi mafanikio aliyopata kwenye mziki yamempa mkwanja wa kufanya umalaya na kupiga pamba kali, sioni cha kuelimisha hapo zaidi ya kujitamba.
Sky is the limit humo kaendeleza uongo wake kwamba alikulia maisha ya kimasikini, kasifia kwamba kuuza madawa ya kulevya kuna mkwanja kiasi aliamua kuacha shule ili ajifunze kuyauza, n.k.
Huu ni upumbavu mwingine. Pac and biggie have been cited as as the greatest rappers of all time it means yupi ni bora kuliko mwenzake is arguably sasa kusema pac hawezi fananishwa na mwengine ni 'ujuha' mkubwa unless uwe hujui chochote kuhusu biggie.Watu wengi sana Hawaijui Hip hop vizuri na pia MZIKI mzuri hawaujui.
Wengi hazijui nyimbo za 2pac na wengi ni wafata mkumbo.
Huwezi mfananishq 2PAC na msanii yoyote yule wa HIP HOP. NI Mpumbavu pekee atakayethubutu kuwaza hilo.