50 People Who Are Screwing Up Tanzania

Status
Not open for further replies.

51. Wewe mwenyewe
 

Hii list wamei-generalize sana, coz inataka watanzania wote ukiangalia ktk NOTE. Ingakuwa vema wangetajwa wale NGULI na MAPAPA SUGU wa kuvuruga nchi badala ya kutaja kila mtanzania kana kwamba Tanzania inaweza kujiendeleza yenyewe bila watanzania
 

mbona hukumuweka na muungwana mwenyewe?????!!!!!! au ndiyo nyie wa anaangushwa na watendaji wake.....kwani hao watendaji tumemchagulia sisi????:disapointed:

jana tu wamemaliza kikao cha CC na yeye akiwa chair na wameridhia Dowans kulipwa..si ni huyu angekuwa sehemu ya utatu wa utata wa JER(Jakaya Edward Rostam) na kwa hivyo angekuwa namba moja....
 
"mbona umemsahau Reginald Mengi?au anamla mama yako"

 
wewe na huyo aliye fuata ndo mnaongoza. coz hamchukui hatua
 
wakuu,
salaams, nikiwa kama mtanzania bila kujali tofauti ya chama, dini wala kabila ningependa tuwaorodheshe watu wote wanaorudisha nchi yetu nyuma. Imekua ni aibu sana kwani nyenzo zote tunazo za kutuwezesha kuwa kali hali ambayo sio masikini kama tulivyo sasa hivi.Najua ni hatua ngumu sema ni kheri na wenyewe wajijue kwamba tunawafahamu. Tusiangalie mambo ambayo yataturudisha nyuma kama dini, ukabila, chama, na mengineyo. Naomba tuwe wakweli nikiamini either wenyewe, ndugu au jamaa wataona na kuwaambia!

Tukiwa wawazi tutajenga nchi yetu...tusiongee kwa uoga!
ni mtazamo tu...
 
Hoja nzuri. Fungua pazia basi mkuu ina maana wewe huna hata mmoja kweli?
 
Unawajua ila unataka tukutajie. Kila mtu anawajua, ingawa sio wote walau watatu wanajulikana, unajifanya huwajui? unatutega? Hapa kuna ma great thinkers bwana, they can think what you think.
 
1. JK
2. EL
3. RA
4. AC
5. AM
6. ...
7. ...
tuendelee wakuu...
 
taja majina yote kwa ukamilifu kama unataka sera za uwazi na ukweli. JK naweza sema ni jumila kitwana ..weka wazi majina
 
bwana mzee usifanye hivyo,unajua kuna magazeti yanafanyaga hivyo
wanaandika habari ya mtu lakini hawamtaji
wataje strait away
mimi sijakupata bado
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…