Kuchoshana tu bwana...🚮 Yeye hapo si ana kondoo zake, kila kondoo akitoa hata buku kila siku si tayar hapo uhakika...
Yani mnaanzaje kuzungumza na mtu humjui akufanyie kazi yako bure? Watu hawako serious aisee!Na nikuambie kitu ambacho kitakushangaza Nina uhakika watu wa aina hio 100% hua wanataka business plan ama huduma za consultancy Bure, hawezi kutoa hata mia mbovu, na ndio mana yupo hapa kusanifu watu na kutaka ideas Bure, Kuna chabure kwa Sasa Dunia hii? Siku hizi kukalia hata BENCHI kitaa ni jero, sembuse business idea...Yan nikupe idea Bure utusue ukiwa umekalisha mapumbu huko Mimi Sina hata Jero? Huo ujinga kwa Sasa sifanyi
Wewe pia ni fala kipeuo Cha tatu you bera watch your back dogo.Wewe ni fala
Hiyo biashara ya duka la vyakula ndio biashara unayoimudu hama tafuta eneo lingina endelea na biashara hiyo unaimudu.Habar wakuu nafanya biashara ya duka la vyakula la jumla Sasa mtaji umepungua kulingana na ushindani mkali sana na biashara haitoki kama mwanzo,nafikiria biashara either kwenda china au biashara nyingine yoyote mkoa wowote wakuu nipeni mawazo yenu nitoboe
Hivi mtu ambae hajawahi kufanya biashara yeyote ile anaweza kukushauri nini cha maana?Na nikuambie kitu ambacho kitakushangaza Nina uhakika watu wa aina hio 100% hua wanataka business plan ama huduma za consultancy Bure, hawezi kutoa hata mia mbovu, na ndio mana yupo hapa kusanifu watu na kutaka ideas Bure, Kuna chabure kwa Sasa Dunia hii? Siku hizi kukalia hata BENCHI kitaa ni jero, sembuse business idea...Yan nikupe idea Bure utusue ukiwa umekalisha mapumbu huko Mimi Sina hata Jero? Huo ujinga kwa Sasa sifanyi
Kivipi ataangukia pua?Hiyo biashara ya duka la vyakula ndio biashara unayoimudu hama tafuta eneo lingina endelea na biashara hiyo unaimudu.
50M China utaangukia pua
Huyu ndugu yetu kila siku ana maidea ya biashara kubwa kubwa tu. Juzi niliona anaulizia kuhusu mradi wa kujenga shule kama sikosei.
Anatakiwa atenge hata m3 hivi akaupoze moyo kwanza maana si kwa mapambano aliyonayo😁😁.
Hana experience! Mtaji bado ni mdogoKivipi ataangukia pua?
🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣Habar wakuu
Nimekuja kwenu nina akiba hapa ya Milioni 40
Nimekuja kwenu kama wataalamu wa uwekezaji au wazoefu wa uwekezaji mpo
Nishaurini kati ya kununua hisa CRDB, NMB na kuwekeza UTT, niwekeze sehemu ipi kati ya hizo
Maana nafanya shughuli zangu zingine zabiashara kama kawaida ila Nina hiyo akiba
- malembeka18
- hisa niwekeze utt utt
- Replies: 58
- Forum: Biashara, Uchumi na Ujasiriamali
Wakuu habar zenu nafikiria kufungua kiwanda yaan kununua machine kwa ajili ya uzalishaji
Sasa kwa mtaji wa Milioni 50 naweza kununua machine za kuzalisha bidhaa zipi ambazo nitaweza kuingia sokoni kuusaka utajri maana nimeiona biashara za uchuuzi zitanichelewesha sana
Wadau leteni mawazo yenu
- malembeka18
- mtaji wa biashara
- Replies: 35

Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana
Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida
Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
- malembeka18
- biashara duka ipi mtaji nifanye sana vyakula yangu
- Replies: 34

Wajuzi wa magari nataka kumiliki scania G410, ni shingapi horse na trailer shingap, nichukue trailer double lala ya single.
- malembeka18
- kununua nataka scania
- Replies: 5
- Forum: JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
Wakuu ninamiliki kituo cha mafuta kutokana na changamota nilizopata kimaisha nimejikuta Sina pesa ya kununulia mafuta kwa ajili yakuendesha kituo, nifanyaje ili niweze kupata mtaji pesa yakununulia mafuta?
Mkopo wa riba naogopa ntapozeta asset yangu, na je mkopo wa Tsh. 120m riba yake ni kiasi gani kwa mwaka?
Msaada wenu wa mawazo mliowahi kumiliki vituo vya mafuta au kusimamia vituo, wadau deepod, agripoduct njooni humu
- malembeka18
- kituo cha mafuta
- Replies: 40

Papaa malembeka mutu ya mitaji mikubwa mikubwa
Nakuambia u will be surprised!Yani mnaanzaje kuzungumza na mtu humjui akufanyie kazi yako bure? Watu hawako serious aisee!
🫡🫡🫡, kongole kwake.Habar wakuu

Mkimshauri mlete mawazo makubwa makubwa sio mawazo ya mitaji ya mil 2🫡🫡🫡, kongole kwake.
Ilibidi awe na mtaji kiasi ganiHana experience! Mtaji bado ni mdogo
🚮🚮Habar wakuu

Hahahah!Mkimshauri mlete mawazo makubwa makubwa sio mawazo ya mitaji ya mil 2
Roho mbaya na umaskini ndio uliokupandisha iko kisukari cha wivuHivi mtu mzima na akili zako una pesa zote hizo unashindwa kujua ufanye nini? Mbona mnapenda kujikweza na masifa ya kutaka tujue mna pesa? Wewe hii sio mara ya KWANZA unatoa mada za namna hii, hua unatoa mada za namna hii mara nyingi mara milioni 100 mara milioni ngapi, naona unatafuta sifa humu, ili tujue una hela, haiwezekani mtu mzima kama kweli mtu mzima mwenye mapumbu uwe na pesa zote hizo usijue Cha kufanya , umekuja kutuinjoi tu hapa, watu hatuna hata elfu kumi, unatujia na mada eti Nina milioni 70 sijui nifanyie nini, kumanyoko, msisumbue watu bwana, tafuta consultancy uwalipe wamejaa kibao hawana kazi, wape kazi, wakutengenezee business plan, acha kusumbua watu ********...Mimi hapa sijanywa hata chai, nakuta mtu ana milioni 70 eti hajui afanye biashara Gani, shenzi
By the way SIMBA BINGWA.
Umekurupuka Mr. Hali wali mkavu!Roho mbaya na umaskini ndio uliokupandisha iko kisukari cha wivu
Mtaji wa kwanza ni experience!Ilibidi awe na mtaji kiasi gani
Aisee kweli humu ndani hakuna mfanyabiasharaMtaji wa kwanza ni experience!
Kwaiyo awe na experience yakutosha kujua soko la wateja wake ni lipi na wapi ,Then machimbo ya hizo bidhaa yanapatikana wapi na mzunguko wa biashara kwaujumla ,ndio aje kwenye Capital itakayoendesha biashara baada yakununua na wakati wakuuza....
Hapana wapo usihukumu wote kwa hoja yangu.Aisee kweli humu ndani hakuna mfanyabiashara