70% ya Mademu wa Dar wanaopendeza sana, wana Mashauzi na wana Simu Kali wanalala Sakafuni na Magodoro yao Ghetoni

Nna ka tecno hapa au na kenyewe na kapo kwenye simu kali?😂😂
Aaaah utakua unaongopa tuuu toa hio Note 20 plus na viatu vyenu vya manyoya nyonya upo zako fishmonger..ukisalimiwa..unanyali watu....🤣🤣🤣🤣
 
Tafuta bushgirl wako utulie nae kiroho safi
 
Huwa mnakutana maeneo gani hadi muishie kwenda anakoishi?
 
Wee umeonesha uhalisia
 
Kwa mtitiriko huu ni wazi yalishakukuta mkuu. Vipi bado upo nako au umekaacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…