70% ya Mademu wa Dar wanaopendeza sana, wana Mashauzi na wana Simu Kali wanalala Sakafuni na Magodoro yao Ghetoni

Mwamba kaongea ukweli mtupu😅
 
Jamani mkitaka kubaolojiana so nendeni mahoteli huko. Sio heshima kumla mtu Tena home kwake, hii haijakaa sawa.
Hahahahah unakuta umem drop sana njiapanda siku moja unaamua umsindikize kwa mguu mpaka ndani balaa linakuja hapo .

Mnaweza kuacha gari kwa dakika 10 wakati mnakula chochoro za hatari! Yani hadi mtoboe geto mmehatarisha maisha sana kwa wajuba.
 
Dah umenikumbusha, kuna demu nilikutana nae kiwanja, aisee anaongea kiupole lakini bonge la jambazi, shortly nilitaga pita, nikapita nae, now simu haziishi, nimeamua kumblock mazima,

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ndio dawa yao hao ving’ang’a yani😅 demu unamtia bata la laki 3 anakuona potential husband full usumbufu.
 
Hahahahah unakuta umem drop sana njiapanda siku moja unaamua umsindikize kwa mguu mpaka ndani balaa linakuja hapo .

Mnaweza kuacha gari kwa dakika 10 wakati mnakula chochoro za hatari! Yani hadi mtoboe geto mmehatarisha maisha sana kwa wajuba.
Hahaha hatare sana, Basi mtupangishie masaki
 
Lakini kwa nini uende kwake? Si wewe umpeleke kwako!?
Kwako kashakuja mara kibao mnapoamua kuchenji venue sasa! Demu anakaa mazingira mabovu kweli yani😅 ila ukimuona anga zake za ulaji bata unaweza hisi mwanamke sindio huyu.
 
Hahaha mkuu dunia Ina maajabu Sana,,bia local sinywagi wakati mtu analala chini au analala kwa mafungu.

Nadhani tunatotofautiana akili na uelewa tu.
 
Ulienda mitaa ya Brazil ....hahaa dah utasikia nakaa kinondoni studio, halafu unamuona anatokea bondeni vichochoroni kuja kuibukia studio.

Mkuu GENTAMYCINE umewasahau wa kijitonyama kwa ali maua, kinondoni Moscow, mwananyamala na Tandale yote.
Hahahahahahah Sharaut kwa wote wa bonde la mpunga kule😂😂😂 ila anajifanya anakaa Kawe
 
na wanajua kutumia uber
wanaenda fukwe ghali

ukimpa oda ya one night atakutajia hotel ghali na bei anazijua zote.
Sasa unataka mdangaji (malaya muuza mbususu) asijue bei ya guest/lodge au hotel??
 
Na ndiyo maana wengine kwa Kuwakomoa zaidi kwa Upuuzi wao tukiwa nao tunaamua kupita nao barabara zote za Lami na Vumbi ili Wakome na Wakasimulie vyema huko Vijiweni Kwao ( Mwao )
Mkuu unaamua kuwafir* kabisa? Angalia usije ukafulishwa mashuka ya lodge..hahaaa
 
Mkuu unaamua kuwafir* kabisa? Angalia usije ukafulishwa mashuka ya lodge..hahaaa
Wapi nimesema kuwa nawaingilia kinyume na Maumbile kama unavyolazimisha? Acha Kiherehere cha Kufanya unajua Kumaanisha wakati hujui sawa? Kuna Watu mnakera kwa Kukurupuka Kwenu.
 
H
Halafu huwa hawalewi...utamnywisha hata savannah /heineken/windhoek za laki ila yupo macho makavu dadeki. Wezi hatari watchout ukimkaribisha home kwako.
 
H

Halafu huwa hawalewi...utamnywisha hata savannah /heineken/windhoek za laki ila yupo macho makavu dadeki. Wezi hatari watchout ukimkaribisha home kwako.
Hahahahah hakawilii kuondoka na saa yako moja😅 utashangaa haipo tu! Aisee hizo mama za kuokoteza kwenye ma Bar mie siziwezagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…