70% ya Mademu wa Dar wanaopendeza sana, wana Mashauzi na wana Simu Kali wanalala Sakafuni na Magodoro yao Ghetoni

H

Halafu huwa hawalewi...utamnywisha hata savannah /heineken/windhoek za laki ila yupo macho makavu dadeki. Wezi hatari watchout ukimkaribisha home kwako.
Sasa kahb utamkaribishaje kwako??? Utajivunjia heshima ntaani kwako bure tu mkuu
 
Hahahahah hakawilii kuondoka na saa yako moja😅 utashangaa haipo tu! Aisee hizo mama za kuokoteza kwenye ma Bar mie siziwezagi
Code zao ukiwakuta viwanja utawakuta wana vitattoo uchwara mikononi,mabegani au kiunoni. Simu kubwa, na vipochi vya kiunoni.
 
😂😂😂😂😂 inaonekana unawajua Sana.
 
Uko sahihi kabisa... na wengi wao wanaishi fake life,wachache wao ndio wako real.
 
Sasa hujakutana na wale ambao wanajifanya hawaijui miogo, utawasikia ".....yaani mimi tumbo langu nikila miogo lina unguruma.........".

Sasa ubahatike umfumanie kwenye maisha yake halisi asubuhi kapanga foleni na bakuli lake,halafu anampigia kelele muuzaji "........kila siku nikija unaichelewesha miogo yangu, hebu niwekee ya buku haraka.......".

Ukimuliza "...baby wewe si ulagi miogo....tumbo litaunguruma........",atazuga "......mimi leo tu basi nilikuwa na hamu ya miogo......",hamu ya miogo MIOGO YA BUKU !!!!!.....manake miogo ya buku ni mlima, unaweza ukaua winga asubuhi na mchana, ukipiga kombe lako la maji unapiga miluzi unaitafuta usiku.

Sasa yy miogo ya buku kwake ni mlo mmoja wa asubuhi.
 
Ha haaaa haaaaa eti miogo ya buku!au anashindia siku nzima?
 
Hiyo picha kwenye status yako,inaendana na ulichokuandika.
 
Nawachukia sana binadamu wanao fake maisha
Hata Mimi Mkuu na sijui ni kwanini Watu ( hata 85% ) ya JF Members hupenda kuonyesha kuwa wana Maisha ya Juu wakati wengi wao tena kwa 95% hayo siyo Maisha yao.

Nashukuru kuwa Mimi ni mwana JF Member pekee ambaye najulikana na wengi hapa kuwa ni Masikini wa Kutupwa na Maisha yangu ni Magumu tena kuliko Watu wanavyodhani ila napambana katika kuyaweka sawa nikiamini kuwa kwa Kudra zake Mwenyezi Mungu ipo Siku nami nitafanikiwa kwani kwa Mola ( Maulana ) huwa hakuna Kuwahi au Kuchelewa muhimu tu ni Afya Njema, Kutokukaa Tamaa na Pumzi ya Uhai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…