Imekuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari vyenye kuegemea magharibi kuhusu magaidi na ugaidi; wengine tukashadadia.
Kwamba Israel inapambana na magaidi, na kutokea Oct. 7, 2023 takwimu ndiyo hizi:
Bila shaka ndiyo maana kina Mandela, Gaddafi, Saddam, Castro, nk waliitwa magaidi. Kama ilivyo kwa Iran au North Korea. Lakini si Qatar, Saudia wala Kenya huko.
Kwamba kumbe yote hii ni malipo tu ya uchaguzi baina kuwasabiria au kuwakomalia wenye maguvu yao?
Kwa hakika kama ndivyo, yawezekana hata wa Taleban, au kina Osama au yule mwamba Salenda, wala si magaidi kwa tafsiri iliyopo!
Ya hivi si ndiyo yamekuwa yakiwasibu kwetu wengi wakiwamo mashehe, wafuasi wa CUF, Chadema, nk kila wapozikataa dhuluma za dola?
Kwa hakika si sahihi kuwaita au kuwahukumu watu kuwa magaidi pasipo na kuwasikiliza wao wenyewe wakijieleza.
Yawezekana wenye kutuhumu ndiyo haswa walio magaidi wenyewe!
"Kwamba ugaidi ni dhana ya mabeberu ubeberu unapopingwa, kumbe hiyo ituhusu vipi sisi?"
Vyombo vya habari si vya kuamini sana, tena kwenye face value.
Hatari sana!