70% ya wahanga Gaza na Lebanon kunakosemekana kuuwawa magaidi, ni wanawake na watoto. Yawezekana maana ya neno gaidi haijulikani!

70% ya wahanga Gaza na Lebanon kunakosemekana kuuwawa magaidi, ni wanawake na watoto. Yawezekana maana ya neno gaidi haijulikani!

Imekuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari vyenye kuegemea magharibi kuhusu magaidi na ugaidi; wengine tukashadadia.

Kwamba Israel inapambana na magaidi, na kutokea Oct. 7, 2023 takwimu ndiyo hizi:

View attachment 3147671

Bila shaka ndiyo maana kina Mandela, Gaddafi, Saddam, Castro, nk waliitwa magaidi. Kama ilivyo kwa Iran au North Korea. Lakini si Qatar, Saudia wala Kenya huko.

Kwamba kumbe yote hii ni malipo tu ya uchaguzi baina kuwasabiria au kuwakomalia wenye maguvu yao?

Kwa hakika kama ndivyo, yawezekana hata wa Taleban, au kina Osama au yule mwamba Salenda, wala si magaidi kwa tafsiri iliyopo!

Ya hivi si ndiyo yamekuwa yakiwasibu kwetu wengi wakiwamo mashehe, wafuasi wa CUF, Chadema, nk kila wapozikataa dhuluma za dola?

Kwa hakika si sahihi kuwaita au kuwahukumu watu kuwa magaidi pasipo na kuwasikiliza wao wenyewe wakijieleza.

Yawezekana wenye kutuhumu ndiyo haswa walio magaidi wenyewe!

"Kwamba ugaidi ni dhana ya mabeberu ubeberu unapopingwa, kumbe hiyo ituhusu vipi sisi?"

Vyombo vya habari si vya kuamini sana, tena kwenye face value.

Hatari sana!
Kwa hiyo mnatumia neno Genocide kama propaganda ya kumchafua myahudi na kutafuta huruma na makelele ya dunia ili hali huku hamas wanashikilia mateka
 
Ulishawahi kusikia Gaza kuna kambi ya jeshi la Hamas?
Sasa unafikiri hao Hamas wanapigana kutoka wapi?
Tumia akili zako kufikiri.

1. Umesikia 70% ya wahanga ni wanawake na watoto?

2. Unajua % ngapi ya hao 30% ni raia wasio na hatia?

3. Unajua haupo uhalali wa kuuwa mtu 1 asiye na hatia?

4. Unajua kuuwa mtu asiye na hatia ndiyo tafsiri iliyopo ya ugaidi?

5. Kumbe Hadi hapo gaidi ni yupi?

"Tumia akili zako kufikiri."
 
Kwa hiyo mnatumia neno Genocide kama propaganda ya kumchafua myahudi na kutafuta huruma na makelele ya dunia ili hali huku hamas wanashikilia mateka

Umetambua hakuna langu nililoandika na kuwa haya ni maneno ya nani?

IMG_20241109_094145.jpg

Wapi umeona ninamchafua nani au hata kutafuta huruma ya nani?

Haya yako ni mahaba Kwa myahudi au ndiyo ujinga wenyewe uliopitiliza?
 
Umetambua hakuna langu nililoandika na kuwa haya ni maneno ya nani?

View attachment 3148014

Wapi umeona ninamchafua nani au hata kutafuta huruma ya nani?

Haya yako ni mahaba Kwa myahudi au ndiyo ujinga wenyewe uliopitiliza?
Watu wanajidai wao ni wapenda haki eti Israel ina haki ya Kujitetea kwa shambulio la Oct7.

Wakati huo huo wanajisahaulisha kuwa Israel Imekuwa Ikiyatwaa(kuyachukua) kwa Nguvu maeneno ya Jirani zao Palestine miaka na Miaka.

Israel hao hao Ndio wanaozuia Lisiundwe taifa huru la Palestine.

Wale walowezi wa Kizayuni wamekuwa Wakiwanyanyasa na Kuwaua Wapalestina na Israel kuishia kusema "Tunafanya Uchunguzi".

Haya Yote Hawa Watetea Haki feki hawayakumbuki wao Wanachojua Ni kwamba mzozo kati ya Israel na Palestine umeanza Oct7 ya huko nyuma maumivu na manyanyaso walivyopita wapalestina wao kama vile Hawayajui.

((Mimi siungi mkono walichofanya Hamas Oct7 lakini Walifanya Vile Sio kwa tafsiri ya Kuanzisha Mzozo bali ni Kujibu Maumivu na Vidonda vilivyopo katika Mioyo yao juu ya Manyanyaso na Uadui wa wazi wa Wayahudi kwa Wapalestina))

UNAFIKI NA CHUKI VIMEWAJAA.

Mbaya zaidi unamkuta Mkristo kabisa anamshabikia Myahudi. Myahudi ambae anaamini Yesu alikuwa Tapeli.
 
Mimi huwa nashindwa kuwaelewa wafia dini mnawapongeza hamas wanapoishambulia israel na kuua wayahudi, kubaka, kuteka, kuchinja wayahudi na kuwashikilia mateka vibibi, vitoto vya kiyahudi , kuwarushia maroketi ila upande wa pili mnalia lia wapalestina wanauawa militaka israel ifanyeje ili hali hamas wamechagua njia ya vita kumkabili myahudi na vita ni kuuana

1 Kushindwa hakukufanyi wewe kuwa bora ndiyo maana mashuleni huko kuna mitihani.

2. Kwenye mada ni maneno ya UN:

IMG_20241109_094145.jpg

Labda kama una maana UN wafia dini?

3. Wapi umeona ninaongelea au kumeongelewa dini?

4. Mkuu Kwa vile wewe u mfia dini usidhani na wengine pia.

5. Bure kabisa!
 
Watu wanajidai wao ni wapenda haki eti Israel ina haki ya Kujitetea kwa shambulio la Oct7.

Wakati huo huo wanajisahaulisha kuwa Israel Imekuwa Ikiyatwaa(kuyachukua) kwa Nguvu maeneno ya Jirani zao Palestine miaka na Miaka.

Israel hao hao Ndio wanaozuia Lisiundwe taifa huru la Palestine.

Wale walowezi wa Kizayuni wamekuwa Wakiwanyanyasa na Kuwaua Wapalestina na Israel kuishia kusema "Tunafanya Uchunguzi".

Haya Yote Hawa Watetea Haki feki hawayakumbuki wao Wanachojua Ni kwamba mzozo kati ya Israel na Palestine umeanza Oct7 ya huko nyuma maumivu na manyanyaso walivyopita wapalestina wao kama vile Hawayajui.

((Mimi siungi mkono walichofanya Hamas Oct7 lakini Walifanya Vile Sio kwa tafsiri ya Kuanzisha Mzozo bali ni Kujibu Maumivu na Vidonda vilivyopo katika Mioyo yao juu ya Manyanyaso na Uadui wa wazi wa Wayahudi kwa Wapalestina))

UNAFIKI NA CHUKI VIMEWAJAA.

Mbaya zaidi unamkuta Mkristo kabisa anamshabikia Myahudi. Myahudi ambae anaamini Yesu alikuwa Tapeli.

Kadhi Mkuu 1, Paschal qamara na wa aina zao? Xi aliwaona:

images.jpeg

Udini uchwara umewajaa bila shaka hata myahudi anawashangaa.
 
Mnaingiza chadema Tena?. Upuuzi hautakaa uishe hii nchi.

1. Hivi uliyaona haya ndugu?

"Ya hivi si ndiyo yamekuwa yakiwasibu kwetu wengi wakiwamo mashehe, wafuasi wa CUF, Chadema, nk kila wapozikataa dhuluma za dola?"

2. Kama uliyaona kumbe kwanini ume-wa-single-out chadema?

3. Kwa fikara kama zako hizi ni hakika upuuzi hautakaa uishe nchi hii.

4. Post #2 iliwahusu sana watu kama wewe. Wa aina tako wamepita juu kwa juu kimya kimya.

5. binti kiziwi, imhotep, Mzee Kigogo na wapambanaji wengine, hizi si ndiyo zile ngombe za kwetu?

6. Nakazia:

Ngombe si ng'ombe!
 
Ukitaka kumuuwa mbwa, mpe jina baya.........
Btw UN wanadefine vipi genocide?

1. Mkuu genocide definition ni universal siyo proprietary:

"the deliberate killing of a large number of people from a particular nation or ethnic group with the aim of destroying that nation or group.
"a campaign of genocide"

2. Na hiki ndicho gaidi #1 alicho busy kufanya.

3. It's logical:

"Gaidi analitumia jina hilo kuwaita mbwa apate kuwauwa atakavyo!"
 
Mission ya Israeli ni kuwaua wapalestina wote waishe ndio maana wao kuuwa kwa wingi ndio kipaumbele na wapalestina wanalijua hilo ndio maana Gaza na West Bank Binti akishavunja uongo tu anaolewa anaanza kuzaa. Kule West Bank na Gaza kukuta Binti wa miaka 20 ana watoto 6 au 7 ni jambo la kawaida kabisa.
Na mission ya waarabu/ wapalestina ni kuwaangamiza wayahudi wote popote walipo. Na ndio maana Oct 7 walifyeka wayahudi zaidi ya 1200 ndani ya masaa 8.
Kila mmoja anamvizia mwenzake ammalize
 
Watakwambia Magaidi wanajificha kwenye makazi ya raia huku hao hao wakisifia hayo majeshi yana watu wenye akili sana,sasa kupitia hizo akili zao sijui wanashindwaje kutenganisha watoto, akinamama na hao magaidi.

Kama jeshi la USA lilikwenda Panama kumchukua Noriega ikulu sijui wanashindwe sasa kuingia hapo Gaza na Lebanon kuchukua hao magaidi au kuwaua mpaka wanauaua watu hovyo.
Hitler na Manazi walilaumiwa sana kwa kuwaua jews lakini leo hii dunia iko kimya Jews wanavyoua watu hovyohovyo Palestina na Lebanon.
Dunia ifanyaje labda? Hisbollah na Hamas walianzisha vita acha Israel imalize
 
Baadhi ya wanawake na watoto waliouliwa na wazayuni
 
Attachments

  • image-1.png
    image-1.png
    203.2 KB · Views: 1
Hao wapigwe tu .........kilichowafanya wanaua watanzania bila hatia.............hao UN wa huko gaza pia ni magaidi tu bonda sana netanyahu hakuna kubakiza hata kucha...........
 
Eliminated hamas women
 
Attachments

  • acee6028-ee4c-4d2f-97ac-078927fe5147.jpg
    acee6028-ee4c-4d2f-97ac-078927fe5147.jpg
    403 KB · Views: 1
Hao wapigwe tu .........kilichowafanya wanaua watanzania bila hatia.............hao UN wa huko gaza pia ni magaidi tu bonda sana netanyahu hakuna kubakiza hata kucha...........
Watapigwa tu
 
Imekuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari vyenye kuegemea magharibi kuhusu magaidi na ugaidi; wengine tukashadadia.

Kwamba Israel inapambana na magaidi, na kutokea Oct. 7, 2023 takwimu ndiyo hizi:

View attachment 3147671

Bila shaka ndiyo maana kina Mandela, Gaddafi, Saddam, Castro, nk waliitwa magaidi. Kama ilivyo kwa Iran au North Korea. Lakini si Qatar, Saudia wala Kenya huko.

Kwamba kumbe yote hii ni malipo tu ya uchaguzi baina kuwasabiria au kuwakomalia wenye maguvu yao?

Kwa hakika kama ndivyo, yawezekana hata wa Taleban, au kina Osama au yule mwamba Salenda, wala si magaidi kwa tafsiri iliyopo!

Ya hivi si ndiyo yamekuwa yakiwasibu kwetu wengi wakiwamo mashehe, wafuasi wa CUF, Chadema, nk kila wapozikataa dhuluma za dola?

Kwa hakika si sahihi kuwaita au kuwahukumu watu kuwa magaidi pasipo na kuwasikiliza wao wenyewe wakijieleza.

Yawezekana wenye kutuhumu ndiyo haswa walio magaidi wenyewe!

"Kwamba ugaidi ni dhana ya mabeberu ubeberu unapopingwa, kumbe hiyo ituhusu vipi sisi?"

Vyombo vya habari si vya kuamini sana, tena kwenye face value.

Hatari sana!
Kwa hiyo hamas huwa hawafagi ni wanawake na watoto tu huko gaza ndio wanakufaga?
 
Kwan hamas mpaka muda huu wamekufa wangapi mkuu

1. Umetambua kwenye mada HAMAS kama tulioamnishwa kwetu yawezekana siyo magaidi?

2. Umetambua kwenye mada gaidi ni nani Kuna kulishana matango pori kwingi ambapo hata Osama anaweza kuwa mhanga wa ugaidi.

3. Hata kama mawili hayo hapo juu siyo kweli na kuwa kwa uhakika HAMAS ni magaidi wewe au Kigogo Mzee mliwahi kusikia hii:

IMG_20241110_041656.jpg

4. Kwa kuwa ugaidi ni jaribio lolote la kuuwa yoyote asiye na 70% ya wahanga wa Israel ni watoto, haipo shaka gaidi wa wazi ni huyu kipenzi chenu labda Kwa tafsiri tofauti ya neno ugaidi.

5. Hapo #4 ndipo ulipo msingi wa hoja.
 
hamas wao hawafi, wanakufa wanawake na watoto tu.
Kwa mujibu wa tv ya kigaidi Aljazeera

1. Hawa si Al Jazeera ndugu:

IMG_20241109_094145.jpg

2. Labda ukimaanisha UN ni magaidi au kwamba Kila asiyewasabiria wenye maguvu yao ni gaidi.

3. Au hili nalo hujawahi kusikia:

IMG_20241110_041656.jpg

4. Hapo #3, haipo shaka kuwa anayeuwa watoto popote ni gaidi nambari 1!
 
Back
Top Bottom