- Thread starter
- #21
Tujadiliane kwa stara bila kuingiza watu waliotangulia mbele.
Wapi hakujajadiliwa jambo kwa staha?
Bila shaka unakubaliana nami si sahihi awaye yote kutuhumiwa kwa ugaidi kwani mwenye tuhuma anaweza kuwa ndiye gaidi mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujadiliane kwa stara bila kuingiza watu waliotangulia mbele.
Huyu anasikiliza Channel ya Kigaidi ya Aljazeera, ambao wao pamoja na Guterres wako kwenye payroll ya Qatar. Angejua mwamba kesha waambia Qatar kuwa hataki Kusikia Kamasi ziko pale Qatar.
Halafu hajiulizi tu Viongozi wengi wamempongeza Trump. Je Guterres katoa tamko?!
Ina maana nyie waislam mmehalalishiwa kuvamia kijiji na kuua watu lakini nyie mkiuwawa mnaanza kulalama.Kuna tofauti gani kati ya yale ya trh 07October 23 na yanayoendelea Gazq?Huku kwako si ndiko kushadadia taslimu wasemavyo mabeberu?
1. Haupo uhalali wowote wa kumwua mtu yeyote kwa sababu yoyote.
2. Kwamba kunakuua na kujificha kwa raia wewe umejuaje?
3. Hakuna popote Israel imekiri kuuwa wanawake au watoto au wasio na hatia zaidi ya kila siku kudai kuuwa magaidi.
hv unajimbua ? Israel hutoa taarifa mapema ila hao akina mama wanakubali kuwa ngao ya magaidi , nan wa kulaumia hapo ?
Kwan hamas mpaka muda huu wamekufa wangapi mkuuImekuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari vyenye kuegemea magharibi kuhusu magaidi na ugaidi; wengine tukashadadia.
Kwamba Israel inapambana na magaidi, na kutokea Oct. 7, 2023 takwimu ndiyo hizi:
View attachment 3147671
Bila shaka ndiyo maana kina Mandela, Gaddafi, Saddam, Castro, nk waliitwa magaidi. Kama ilivyo kwa Iran au North Korea. Lakini si Qatar, Saudia wala Kenya huko.
Kwamba kumbe yote hii ni malipo tu ya uchaguzi baina kuwasabiria au kuwakomalia wenye maguvu yao?
Kwa hakika kams ndivyo, yawezekana hata wa Taleban, au kina Osama au huyu mwamba:
View attachment 3147673
wala si magaidi kwa tafsiri iliyopo!
Ya hivi si ndiyo yamekuwa yakiwasibu kwetu wengi wakiwamo mashehe, wafuasi wa CUF, Chadema, nk kila wapozikataa dhuluma za dola?
Kwa hakika si sahihi kuwaita au kuwahukumu watu kuwa magaidi pasipo na kuwasikiliza wao wenyewe wakijieleza.
Yawezekana wenye kutuhumu ndiyo haswa walio magaidi wenyewe!
"Kwamba ugaidi ni dhana ya mabeberu ubeberu unapopingwa, kumbe hiyo ituhusu vipi sisi?"
Vyombo vya habari si vya kuamini sana, tena kwenye face value.
Hatari sana!
Jo
Ina maana nyie waislam mmehalalishiwa kuvamia kijiji na kuua watu lakini nyie mkiuwawa mnaanza kulalama.Kuna tofauti gani kati ya yale ya trh 07October 23 na yanayoendelea Gazq?
Kumbuka ulimwengu wote wa kiislam ulishangilia kwa yale mauaji.
Sisi wapenda haki tunasema wacha yahudi atembeze kichapo.
vita haichagui nani afe nani aishi
Ningeshaangaa nisingekutana comment kama hiiMagaidi yanaua halafu yanakwenda kuishi mitaani waliko wanawake na watoto.Sasa mzayuni yeye hana cha salia mtume .anatandika tuu.
Hao wanawake na watoto walitakiwa kuyakimbia magaidi badala yake yanaishi na kula nayo kwa hiyo wote wanakwenda na maji
Katika Mila na Desturi za Kiafrika Wafu huheshimiwa unapoambiwa kuwa Mzazi wangu ni Marehemu inapidi kuomba radhi mara moja na kutoa pole.Wapi hakujajadiliwa jambo kwa staha?
Wale waliouwawa 07Oktoba walikuwa na hatia?Nianze kwa kukwambia miye si mwislam wala sijawahi kuandika lolote kwa niaba ya uislam popote!
Pili, walioshangilia Oct 7 ni wengi mno walio waislam na wasio waislam. Kumbuka Oct 7 ina historia yake wala haikuzuka kama upepo kutokea kusikojulikana.
Kumbuka 7 ilikuwa ni operation ya ukombozi ya wapalestina kwenye maeneo ya uvamizi:
View attachment 3147835
Kwamba kibaka kwenye eneo la wizi ulipenda apewe pilau?
Sasa rejea kwenye mada ufahamu inahusu maana ya ugaidi:
"Kwamba ugaidi ni mauaji ya watu wasiokuwa na hatia."
Tofautisha watu wasiokuwa na hatia na walowezi kwenye maeneo ya wezi.
Ni hayo tu ndugu mjumbe.
Ningeshaangaa nisingekutana comment kama hii
Kama kule ulaya na Tanzania jamaa wanavyozaliana kusudi huko mbele watawaleMission ya Israeli ni kuwaua wapalestina wote waishe ndio maana wao kuuwa kwa wingi ndio kipaumbele na wapalestina wanalijua hilo ndio maana Gaza na West Bank Binti akishavunja uongo tu anaolewa anaanza kuzaa. Kule West Bank na Gaza kukuta Binti wa miaka 20 ana watoto 6 au 7 ni jambo la kawaida kabisa.
Invalid fact check.Kama kule ulaya na Tanzania jamaa wanavyozaliana kusudi huko mbele watawale
Wale waliouwawa 07Oktoba walikuwa na hatia?
Israel akijilinda kwa kuwasaka mateka wake waliokamatwa na Hamas ni hatia
Tukiita kile kinachofanyika Gaza ni Operation maalum ya kuondoa ugaidi kama ulivyoiita ile ya 07/10 kuna tofauti?
Wewe ni muislam usijitoe ufahamu
Kama kule ulaya na Tanzania jamaa wanavyozaliana kusudi huko mbele watawale
Katika Mila na Desturi za Kiafrika Wafu huheshimiwa unapoambiwa kuwa Mzazi wangu ni Marehemu inapidi kuomba radhi mara moja na kutoa pole.
Lakini kushupaza shingo for the sake of argument sio powa kabisa.
Ingelikuwa ni vizuri kwanza unitake Radhi halafu tuendelee na Mjadala.Ni Osama au huyo mwamba waliombagaza Salenda kuwa ni gaidi,
Ingelikuwa ni vizuri kwanza unitake Radhi halafu tuendelee na Mjadala.