70% ya wahanga Gaza na Lebanon kunakosemekana kuuwawa magaidi, ni wanawake na watoto. Yawezekana maana ya neno gaidi haijulikani!

Kuna watu hapa wanajadili ila wana matatizo ya afya ya akili ila hawajajijua
 
Hiyo 30% walijificha ndani ya 70% ya raia, shughulisha ubongo wako

".. wengine tukashabikia bila kuhoji."

Yawezekana akina Osama, Taleban, HAMAS, Hezbollah, Houthi, Iran nk kama tungewasikiliza wenyewe; tungekuwa na mtizamo tofauti.
 
Mtoto wa mamba naye ni mamba, na mamba anazaa na mamba mwenzie

Collective punishment is a form of sanction imposed on persons or a group of persons in response to a crime committed by one of them or a member of the group.

Collective punishment ni kinyume cha sheria za kimataifa labda kwenu ukara ndani ndani huko, ambako mamba ni rasilimali!
 
Hawa wanaounga wanaume kupelekeana moto wao kwa wao, unategemea watakupa sheria nzuri?
 
Hawa wanaounga wanaume kupelekeana moto wao kwa wao, unategemea watakupa sheria nzuri?

Kutegemea kupewa haki ni makosa makubwa ya kimsingi.

Haki haipewa, haki hupiganiwa!

Somo hili ndilo ambalo makamanda uchwara wa pande za kwetu limeshindwa kuwaelea.
 

Sio HAMAS kivipi kutwa JF kutetea hayo magaidi ya waislamu, pambaneni kama wale wengine.
 
Sio HAMAS kivipi kutwa JF kutetea hayo magaidi ya waislamu, pambaneni kama wale wengine.

Sisi hata Gachagua tumemtetea mno asibanduliwe japo si watu wa mlima!

Nakazia:

Tegeta Nyuki huku, labda kama ni kutuchuria tu ndugu.
 
Naona wewe ni mtu wa Bundasliga nadhani unajua fika tumeanzia wapi hebu Rewind.

Hata kwenye ya wananchi na wale wenzao hujawahi niona, ya mabeberu na miye wapi na wapi?

Bila shaka kwa post yako hii utakuwa umeambulia patupu. Ushahidi umeukosa:

Faida kamili za kuandika yaliyokuwa kweli na haki peke yake!

"Kwenye msingi huo hata ban ya kusingiziwa ikuhusu vipi?"
 
Ulishawahi kusikia Gaza kuna kambi ya jeshi la Hamas?
Sasa unafikiri hao Hamas wanapigana kutoka wapi?
Tumia akili zako kufikiri.
 
Kwani si mnasema hamas wameshinda vita sasa kwanini wanashindwa kuzuia hiyo genocide mpaka mnakuja kulia lia ili dunia iwahurumie wapalestina sasa kama hamas wana manguvu si wazuie hivyo vifo vya wapalestina?
 
Mimi huwa nashindwa kuwaelewa wafia dini mnawapongeza hamas wanapoishambulia israel na kuua wayahudi, kubaka, kuteka, kuchinja wayahudi na kuwashikilia mateka vibibi, vitoto vya kiyahudi , kuwarushia maroketi ila upande wa pili mnalia lia wapalestina wanauawa militaka israel ifanyeje ili hali hamas wamechagua njia ya vita kumkabili myahudi na vita ni kuuana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…