80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'


Huyu mke kaolewa na mume Bora na mwema pia anaeneo kwaajili ya vijakazi na wanyama na mashamba hivyo mke anafanyakuendeleza Mali za mumewe vizuri Sasa mwaume anayeoa mke huku anaishi chumba cha kupanga tena kimoja na Wala Hana eneo la kutosha kwaajili ya kilimo Wala sehemu ya kuweka wanyama na vijakazi wa kuwasaidia kuendeleza Mali bado akapata mwanamke wa kuvumilia umasikini wake naye analia wanawake wanamuomba hela akiwatongoza Sasa anatatongoza wa nini mpaka wamuombeombe?

Kwanini asijijenge kiuchumi mpaka kuwa mume Bora yeye anatumia muda wake kutafuta wanawake wampe hapo Kuna akili kweli? Makahaba wapo tena wameandikwa wanamaneno matamu Sasa kama umeshikwa na utamu wao wa maneno acha wakuombe hela mpaka ukome maana imeandikwa ikimbie zinaa na ukihitaji mke mwema mtafute kwa watu wema utampata wa kufanana naye.
 
Hivi wewe unaishi sehemu gani Tanzania hii?
Huku kwetu ukizoeana na binti au mwanamke yoyote hata km ujaonesha hata nia ya kumtongoza utashangaa anaanza kukuelezea shida zake na akiona humuelewi anakuja na gia ya nikopeshe na km unavyojua mwanamke hakopeshwi, ukimpa ndio imetoka hiyo
 
Shukran kwa dua njema. Bila nyinyi yasingewezekana yote.
 
🙏
 
Siku moja nilikuwa pale stand kuu Buzuruga, mama mmoja akaja nguo yake imekatwa wahuni wamemwibia fedha yote nauli ya kuendea kwao Musoma, akawasihi wenye bus wamsaidie wakagoma, mwisho akajishika kichwa akasema "...ama kweli leo itabidi niolewe tu kwa lazima" watu wakacheka sana, ikabidi tufanye donation
 
Hawa wadada wanaokuja na mimba ya zaidi ya miezi saba huku kwenye mihangaiko sio wenzenu au?
 
Sasa si tutachelewa kupata utelezi? Mfano niko hapa Dom kikazi kwa wiki moja, kuna Katoto kakaliii halafu kamefungasha na kila idara kako vizuri... Yaani posho ya siku mbili leo ni halali yake ili niteleze...


Jamvi la wageni hilo kila ajaye kama wewe hukaa [emoji108][emoji108]

Hivi huwa hamuoni kinyaa?

Mjue Mungu uwe na kiasi!
 
Nashindwa kuelewa wanawake wa kibongo, hivi mtu unakuwa na mawazo gani kuomba omba kila kukicha....hivi wazazi wenu wako wapi? Nani aliyewadanganya kuwa na mshikaji ni fursa ya kumtwisha matatizo yako yote akutatulie?

Binafsi sisalimii wanawake makusudi kwani unaweza salimia mtu kwa nia nzuri tu utamsikia nina njaa ama ninadaiwa kodi ya nyumba, sasa mimi nikufanyeje......si mke wangu na si jukumu langu kukutunza wewe, ukiona maisha magumu mjini rudi kijijini tu.
 
Naona hii hoja tumshirikishe Waziri Dorothy Gwajima. Inakuwaje mwanamke kufikiria apate mwanamme ili ampe majukumu ya matatizo yake, kwani hawa wanawake hawana wazazi? Kwa kwei wanawake wa kibongo mnaboa kishenzi mpaka wanaume wanawakimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…