80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Mithali 31:10-31​

Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana thamani yake yapita thamani ya marijani. Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato.

Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake kwa moyo wote. Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali. Tena huamka, kabla usiku haujaisha; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao. Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu. Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu. Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku.

Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia. Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake. Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu. Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani. Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi. Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi.

Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao. Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema iko katika ulimi wake. Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu. Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema, Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote. Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.

Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni.

Huyu mke kaolewa na mume Bora na mwema pia anaeneo kwaajili ya vijakazi na wanyama na mashamba hivyo mke anafanyakuendeleza Mali za mumewe vizuri Sasa mwaume anayeoa mke huku anaishi chumba cha kupanga tena kimoja na Wala Hana eneo la kutosha kwaajili ya kilimo Wala sehemu ya kuweka wanyama na vijakazi wa kuwasaidia kuendeleza Mali bado akapata mwanamke wa kuvumilia umasikini wake naye analia wanawake wanamuomba hela akiwatongoza Sasa anatatongoza wa nini mpaka wamuombeombe?

Kwanini asijijenge kiuchumi mpaka kuwa mume Bora yeye anatumia muda wake kutafuta wanawake wampe hapo Kuna akili kweli? Makahaba wapo tena wameandikwa wanamaneno matamu Sasa kama umeshikwa na utamu wao wa maneno acha wakuombe hela mpaka ukome maana imeandikwa ikimbie zinaa na ukihitaji mke mwema mtafute kwa watu wema utampata wa kufanana naye.
 
Hapo ndo mzizi wa hilo tatizo ulipo, unaobwa pesa na mwanamke baada ya wewe kumtongoza alafu unalalamika? Mwanaume ni mtawala hivyo ukitaka kutawala vizuri uwe na uchumi mzuri yaani jasho lako liwe kubwa alafu tafuta mwanamke wa sifa zako unazopenda muhudumie kwa ufahari kabisa na tabia utakuwa huru kumuonya tabia mbaya usizopenda na hapo atakuwa ni mkeo Sasa mwaume analalamika kuobwaobwa pesa na wanawake anaowatongoza kwani nani amekwambia utongoze hovyo hovyo? Wakati uliambiwa utafute wa kufanana na wewe na ukimpata utajisikia fahari kumuhudumia.
Hivi wewe unaishi sehemu gani Tanzania hii?
Huku kwetu ukizoeana na binti au mwanamke yoyote hata km ujaonesha hata nia ya kumtongoza utashangaa anaanza kukuelezea shida zake na akiona humuelewi anakuja na gia ya nikopeshe na km unavyojua mwanamke hakopeshwi, ukimpa ndio imetoka hiyo
 
Ni kweli kabisa, anapokea kila mtu pale kwake, vijana na wazee, wake kwa waume, anaowafindosha kazi mbali, anaowafundisha ufundi mbali, anaowafundisha ujasiriamali na kutafutia mitaji mbali, anaowapatia ukulima mbao. Ilimradi kwa Mzee Abdul ushindwe mwenyewe tu.

Nilivypasikia nilikuwa siamini ikabidi nimtumie whatsapp kwa namab ya mtu nijifanye kama mimi ni single mother mwenye mahitaji maalum. Alinijibi kwa ufupi tu, njoo huku kwetu tuone tutanyanyuana vipi, unaishi wapi sasa hivi? Nikamwambia nipo Manzese kwa rafiki yangu, akaniuliza "utaweza maisha ya kwetu huku nje ya mji"? Kama utaona taabu siku ya Jumamosi tutampa mtu namba zako atakutafuta anakuja huko mjini, aone jinsi ya kufanya. Mie mwenyewe nikaonaa enheeeee, nimebeep amepiga. Nikamtumia message nikamwambia, asihangaike kumtuma mtu nimeongea na mdogo wangu kaniambia nikaishi kwake. Yalkaishia hapo.

Siku nyingine nikamtafuta kama ni mtu atakae kusaidia sadaka zake, akanambia "hatupokei sadaka za samaki" njoo huku uone sadaka zako zinavyoweza kurudi tena kwako, njoo uwekeze kwenye mambo ya waja wema. Hatutaki sadaka bila kuifanya kuwa endelevu. Haapo nikamshangaa sana na bado naendelea kumdadisi, nimeanza kuipata picha, ana very simple but highly effective ideas za empowerment. Tena akanifahamisha kuwa hata wao hawatoi sadaka ya samaki, wanakupa nyavu ukavue ili nawe uendeleze wengine. Siwezi kuyaeleza mengi aliyonifahamisha, atakae kuyafahamu amwandikie whatsapp, kanoiruhusu niitangaze namba yake, Hana neno.

Allah amzidishie kila la kheri, yaani kwanza utapoongea nae tu, unatambua kuwa huyu mtu yupo serious na anachokifanya.

Abdul Ghafur, hongera sana kwa juhudi zako. Allah akupe umri mrefu uwe mfano mwema wa kuigwa hata na serikali.
Shukran kwa dua njema. Bila nyinyi yasingewezekana yote.
 

Mithali 31:10-31 SRUV​

Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana thamani yake yapita thamani ya marijani. Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato. Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake kwa moyo wote. Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali. Tena huamka, kabla usiku haujaisha; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao. Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu. Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu. Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku. Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia. Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake. Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu. Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani. Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi. Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi. Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao. Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema iko katika ulimi wake. Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu. Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema, Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote. Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa. Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni.
🙏
 
Siku moja nilikuwa pale stand kuu Buzuruga, mama mmoja akaja nguo yake imekatwa wahuni wamemwibia fedha yote nauli ya kuendea kwao Musoma, akawasihi wenye bus wamsaidie wakagoma, mwisho akajishika kichwa akasema "...ama kweli leo itabidi niolewe tu kwa lazima" watu wakacheka sana, ikabidi tufanye donation
 
Ni kweli kabisa utoto unasumbua....

Ni kweli kiasilia mwanaume ni mtoaji sababu sisi kiasilia ndio tunabeba mimba na kulea,hivyo most times hatuko kwenye shughuli za kimaendeleo...na tunategemea 'resources' kutoka kwa mwanaume..ni trait tunayo share na wanayama wengi kasoro simba.
Hawa wadada wanaokuja na mimba ya zaidi ya miezi saba huku kwenye mihangaiko sio wenzenu au?
 
Sasa si tutachelewa kupata utelezi? Mfano niko hapa Dom kikazi kwa wiki moja, kuna Katoto kakaliii halafu kamefungasha na kila idara kako vizuri... Yaani posho ya siku mbili leo ni halali yake ili niteleze...


Jamvi la wageni hilo kila ajaye kama wewe hukaa [emoji108][emoji108]

Hivi huwa hamuoni kinyaa?

Mjue Mungu uwe na kiasi!
 
Nashindwa kuelewa wanawake wa kibongo, hivi mtu unakuwa na mawazo gani kuomba omba kila kukicha....hivi wazazi wenu wako wapi? Nani aliyewadanganya kuwa na mshikaji ni fursa ya kumtwisha matatizo yako yote akutatulie?

Binafsi sisalimii wanawake makusudi kwani unaweza salimia mtu kwa nia nzuri tu utamsikia nina njaa ama ninadaiwa kodi ya nyumba, sasa mimi nikufanyeje......si mke wangu na si jukumu langu kukutunza wewe, ukiona maisha magumu mjini rudi kijijini tu.
 
Naona hii hoja tumshirikishe Waziri Dorothy Gwajima. Inakuwaje mwanamke kufikiria apate mwanamme ili ampe majukumu ya matatizo yake, kwani hawa wanawake hawana wazazi? Kwa kwei wanawake wa kibongo mnaboa kishenzi mpaka wanaume wanawakimbia.
 
Back
Top Bottom