80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Nahisi kuna chuo kinafundisha hii kozi ya kuomba omba au wana vipaji tu vyakuzaliwa?
hiiiii bha ghoshaaaa
Kwani Polepole anafundisha chuo Cha uongozi wa Nini mbona sielewi au Ndio mwalimu wa haya maswala?

Apigwe chakubanga anayewarecture huu upimbi
Shabbhash!
😁😁😁😁πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Its a matter for discussion. Honestly, i don't understand most of the things dada zetu mnazotufanyia financially. It is as if you are not financially conscious or a deliberate and calculated move to make us broke. Ni mizinga tu 24/7 and 365 days non stop
 
Rejea thread ya ROBERT HERIEL
"USIMUONEE HURUMA MWANAMKE"

Malizia na thread ya Liverpool VPN
"WANAUME ACHENI KUOA,MTAKUFA MAPEMA NA KUZIKA NDOTO ZENU,HAWA WANAWAKE SIYO WATU,MNAJUA WALIONGEA NINI NA SHETANI??[emoji13]
 
very painful experience, alafu huyo mwanamke anataka umpende, yaani hapo mimi naanza kuchepuka
 
Kwa ushauri tu na experience nilizonazo
Mtoto anapokuwa anakuomba kila kitu hapo ndio tatizo linapoanzia yaani tangu kwa mzazi

Mzazi usisubiri mtoto akuombe kwani yeye bado ni tegemezi kwako
Mnunulie mahitaji yake bila shuruti
Mpe hata pipi kabla hajakuomba au mnunulie toy ya jero kabla hajakuomba

Hapo unamlea akijua vitu haviombwi bali unapewa
Ila kuna wazazi mpaka aombwe na mama eti baba fulani mnunulie viatu mwanao na wewe uko hapo

Wewe unaona mwanao anahitaji viatu kwanini usubiri akuombe?
Hapo ukimjengea tabia ya kumpa kama mzazi siku akikua atazitafuta na yeye badala ya kuomba maana aliekuwa anampa ni mzazi au wazazi wake tu

Mtoto wa hivyo kuomba ni vigumu ila kama mtoto kazoea tangu udogo kila kitu kuomba na mzazi anasubiri aombwe ndio atoe, hapo ndio matatizo yanapoanzia
Uamuzi ni wenu
 
Mzungu toka lini akapenda mwanamke mwenye mataqo?


Halafu wazungu wanafahamu nini maana ya true love hawawezi ku - fake!

Wanajua kabisa love should be unconditionally.

Na kwamba mwanamke utakapokuwa after money or any material things basi ni wazi hutapata Mpenzi wa kueleweka na endelevu utabaki kutumiwa tu kwa muda mfupi na wanaume wa kila aina na maisha ya kuhangaika.
 


Huyo nazani atakuwa ni Paula mtoto wa Kajala ambae amerithi kudanga katika umri mdogo!
 
utafiti uchwara..

kwa msaada tu achana na wanawake wasiokuwa na kazi… huwawezi

akina miss buza mbona wapo tu, hao ndo size yako, hawana saloon service za gari wala mafuta

wengine achia wenye pesa zao..

mwanaume halii lii hovyo, jikaze
 
Kama unayo si unampa tu mjuba na kama huna unamwambia pia kuwa huna, najua huwezi kumwambia huna unaogopa utanyimwa na wewe [emoji23][emoji23][emoji23] stand to what your heart and feelings are right maana haikulazimu.. Ila kutaka kula mzigo unataka ila kuhudumia hutaki [emoji41][emoji41]
 
Yaani naogopaga hata kupost picha mtandaoni yaani wanakuona kama tajiri wa kwanza wa dunia na kulazimisha penzi ili tu uwape pesa.. shida ni mbaya sana aisee.. lakini sio kwa matakwa yao mda mwingine inawabidi wawe hivyo.. M/Mungu atawasimamia tu InshAAllah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…